Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa

Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki

Mlale Unono Chadema 😄
 
Kanuni namba moja ya uongo msingizie marehemu kuwa aliwahi kutaka kumteua Lisu kama Mwanasheria mkuu

Huku muongo ukijua kuwa marehemu hawezi fufuka kuthibitisha hayo

Marehemu akiwemo Magufuli baada ya kifo waongo wanamtumia sana kutunga uongo.wao
 
Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa

Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki

Mlale Unono Chadema 😄
Hakuna mahali Mwamba Magufuli aliwahi HATA KUFIKIRI kumpa Mropokaji na Mhuni Lissu Utendaji wa Kijiji achilia mbali kuwa Mwanasheria Mkuu. Hizo ni propaganda za kipumbavu kwa watu wapumbavu!
 
Kwani kufika chuo kikuu ndio nini!??
Wanaoiuza na kuiibia Tanzania asilimia kubwa wamefika chuo kikuuu.
Wanaoimba "mama kafanya hivi,vile, mama mitano tena" wamepita vyuo vikuu.

Huyo anaumwa "Lissuphobia" no matter how well he/she is educated or not.
Nadhani hujaelewa maana ya swali 🐼
 
Back
Top Bottom