Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa

Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki

Mlale Unono Chadema 😄
Mkuu, umeacha vikombe vyako vya kuuzia kahawa, naona umetokomea na birika tu
 
Hakuna mahali Mwamba Magufuli aliwahi HATA KUFIKIRI kumpa Mropokaji na Mhuni Lissu Utendaji wa Kijiji achilia mbali kuwa Mwanasheria Mkuu. Hizo ni propaganda za kipumbavu kwa watu wapumbavu!
Tatizo Unaongea mambo ambayo huyafatilii

Rejea kampeni za Magufuli 2020 akiwa Singida akiomba wanasingida wampugie kura, Alisema kuna mtoto wenu anataka urais mwambieni aache, Kuna kazi nitampa hii alisema hazarani na iko on record

Yale walioongea sirini hatuwezi kujua
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
Inawezekana mwezi hauko kona ndiyo maana. Subiri mwezi ukiwa kona ndiyo utamjua tundu lisu halisi ni nani!
Na kumchukia kwako ila huna uwezo hata wa kumkaribia ndio maana mnashindwa kujibu hoja zake badala yake mnakimbilia policcm na kutaka kumuua.
 
Wewe mwenyewe mpumbavu mhuni muongo tokea lini magufuli akushirikishe kwenye mambo yake? Kwa Tabia zako za kishamba isingekuwa rahisi ujue mipango ya magufuli acha kujidai una Akili wakati kichwani umebakiza ubongo wa kufanyia uchawa pekee
Kwahiyo wewe unayepinga ndio alikuwa anakushirikisha kwenye mipango yake? KUMBAVU!
 
Tatizo Unaongea mambo ambayo huyafatilii

Rejea kampeni za Magufuli 2020 akiwa Singida akiomba wanasingida wampugie kura, Alisema kuna mtoto wenu anataka urais mwambieni aache, Kuna kazi nitampa hii alisema hazarani na iko on record

Yale walioongea sirini hatuwezi kujua
Kwahiyo kusema, "Kuna kazi nitampa" ndio Uwanasheria Mkuu?
 
Back
Top Bottom