Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Ndugai ni mtu duni. Siyo duni kimaumbile bali kifikra. Hakuna chochote cha maana cha kukumbukwa atakachokiacha kwa Taifa. Kwa familia yake ataacha aibu ya watoto kuwa na mzazi asiye na uwezo wa kusimamia chochote.

Kama kuna udhaifu wa hotuba, serikali na yeye wangejibu kwa kuonesha huo udhaifu na sio kuzuoa kusomwa hotuba.
 
****** kwake Kongwa kuko kama choo siishi hata kwa dawa
 
Hata mie ningekuwa spika nisingeruhusu hiyo hotuba kusomwa bungeni, naona imejaa mipasho wampe Aisha mashauzi au waimba singeli na vigodoro wawasute watu huko mwananyamala.
Ndio shida makao makuu ya ofisi kuyaweka uswahilini
 
Ndugai can't Take it, na hapa hatujataka kusema Uovu wote
 
Waandamane wakawafungulie wafungwa gereza kuu la ukonga ili wawaunge mkono🤣🤣🤣🤣
Cjui km hili lakuwapokea wafungwa litajirudia.
 
Waandamane wakawafungulie wafungwa gereza kuu la ukonga ili wawaunge mkono🤣🤣🤣🤣
Cjui km hili lakuwapokea wafungwa litajirudia.
Kuna sababu maalum inayokufanya uwe na kumbukumbu ya hilo tukio?

Wasipofanya hilo la kuwapokea wafungwa hawawezi kufanya mengine?
 
Hata mie ningekuwa spika nisingeruhusu hiyo hotuba kusomwa bungeni, naona imejaa mipasho wampe Aisha mashauzi au waimba singeli na vigodoro wawasute watu huko mwananyamala.
Ndio shida makao makuu ya ofisi kuyaweka uswahilini
Kazi ya upinzani ni kupinga, kukosoa na kutoa hoja mbadala, wangeacha jukumu hilo la msingi na kuanza kusifu, ndo tungesema wamekosea!! Angeacha isomwe watu wachambue!
 
Kwa nondo hizi,lazima agome hii hotuba kusomwa Bungeni kwani yeye kama Spika, ni mmoja wa watu wanaolaumiwa mbali na Bunge na serikali.

All in all,rekodi hii haifutiki hata wafanye nini.
 
Kazi ya upinzani ni kupinga, kukosoa na kutoa hoja mbadala, wangeacha jukumu hilo la msingi na kuanza kusifu, ndo tungesema wamekosea!! Angeacha isomwe watu wachambue!
Asilimia 35% ya hotuba unaongelea mambo yalitolewa maamuzi mahakamani, wakati ulikuwa na nafasi ya kukata rufaa na haukufanya hivyo, hapo ni kuingilia mhimili mwingine.
Unakuja kuchomekea kwenye ripoti ya kiongozi wa kambi ya upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…