Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Afadhali haikusomwa. Maana yake hata kwenye Hansard za Bunge haitakuwemo! Wacha ibaki humuhumu JF!
 
Hotuba ya kambi rasmi ya upinzani inaivua nguo serikalibna madhalimu yake ndio maana hakuiruhusu isomwe.
Tumeisoma JF,aibu kwa serikali.
 
CCM hii mpya ni waoga mno kuzikabili na kisha kuzijibu hoja.

Unampiga mbunge Mwanamke hadi unamvunja mkono..huna aibu...na kama asingekinga mkono hilo rungu si lilikuwa linakwenda kichwani kuua.....

Hata wakoloni hawakuwakata miguu kina Bibi Titi Mohamed (RiP). Sisi karne hii hata kama Mwanamke kakuudhi vipi wewe Mwanaume huruhusiwi kumjeruhi hii ni jadi yetu...toka nyumbani hadi taifa hawa ni mama zetu...zipo adhabu za kuwapa wakitukosea lakini si hizi...

Mbunge mwingine mwanamke akawa anakanyagwa kanyangwa tumboni....wewe mwanaume hivi hujui huko ndiko ukitokea....?

Ni aibu kubwa kwa CCM..!!
 
Un
Wewe ni mpumbavu,hotuba ya upinzani bungeni huwa sio kujibu bali kuibua hoja mbali mbali!Wewe UCD akili zako zimepwaya!
Unaposema kuibua hoja mbali mbali unamaanisha nini? Kub anapojibu hotuba ya bajeti ya PM ndio ndio masuala mbalimbali ambayo hayakutekelezwa yataibuliwa.Na hata hii bajeti mpya 2020-2021 mapendekezo yake yalitakiwa yajibiwe kulingana na PM alivyopendekeza.
Sasa habari ya kurekebisha katiba,mara tulipigwa kidogo tufe mara kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, yanatokea wapi?
Subject matter ilikuwa mapebdekezo ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu.
 
Maboya hao jamaa zako ambao badala wajibu hoja za bajeti ya waziri mkuu wao wanaleta stori za kupigwa mpaka kuvunjwa viuno,na stori za kuvuliwa nguo wakiwa gerezani.
Pole ndugu, makaburu SA walikuwa wanazuia mpaka nyimbo na 'kuhariri' habari, mwisho wa yote walishindwa kuzima HAKI.
 
Huwezi ukapereka jinai bungeni! Hakuna aliye juu ya sheria!

Kuhusu akwirini souse mlikuwa chadema, kuhusu mkono na mgongo wa mdee alijitakia mwenyewe .

Kuhusu kanuni mlizosaini kwa ajiri ya kuonyana unapomtukana mwenzio km chadema mnatumia mwanya huo kutukana mjue hiyo ni hiyari ya aliyetukanwa kwenda mahakamani au kwenye kamati yenu.

Chakuwashauri! Fanyeni siasa safi, kutumia mwanya wa maridhiano kutukana watu hakutawapa kura.
 
Katika hali isiyokuwa yakawaida Spika amezuia hotuba ya msemaji mkuu wa kambi ya upinzani bungeni
Spika amesema hotuba hiyo imejaa upotoshaji

Spika ndugai amesema...

Hotuba hii ya Kambi Rasmi ya Upinzani imejaa makosa karibia kila ukurasa, ina matumizi mabaya sana ya jina la Mhe. Rais na kulituhumu Bunge la 11. Nadhani wangeshirikiana kuiandika pamoja isingefika hapa, mimi siko hapa kutetea chochote.

Kulifanya Bunge kuwa mahala pa uzushi haifai, kwa hiyo kwa mamlaka niliyonayo, sitaruhusu hotuba ya Kambi ya Upinzani kusomwa Bungeni kwa sababu inavunja kanuni kadhaa na hotuba zinazokuja huko mbele zikiwa za aina hii itakuwa hivyo hivyo.

Jamaa limegongwa nyundo za maana kwenye hii hotuba lisingeweza kuruhusu
 
Huwezi ukapereka jinai bungeni! Hakuna aliye juu ya sheria!

Kuhusu akwirini souse mlikuwa chadema, kuhusu mkono na mgongo wa mdee alijitakia mwenyewe .

Kuhusu kanuni mlizosaini kwa ajiri ya kuonyana unapomtukana mwenzio km chadema mnatumia mwanya huo kutukana mjue hiyo ni hiyari ya aliyetukanwa kwenda mahakamani au kwenye kamati yenu.

Chakuwashauri! Fanyeni siasa safi, kutumia mwanya wa maridhiano kutukana watu hakutawapa kura.
we ni bumunda ndo maana unamnaii mkubwa wakati ni me
 
Huwezi ukapereka jinai bungeni! Hakuna aliye juu ya sheria!

Kuhusu akwirini souse mlikuwa chadema, kuhusu mkono na mgongo wa mdee alijitakia mwenyewe .

Kuhusu kanuni mlizosaini kwa ajiri ya kuonyana unapomtukana mwenzio km chadema mnatumia mwanya huo kutukana mjue hiyo ni hiyari ya aliyetukanwa kwenda mahakamani au kwenye kamati yenu.

Chakuwashauri! Fanyeni siasa safi, kutumia mwanya wa maridhiano kutukana watu hakutawapa kura.
Kajifunze kuandika kwanza alafu ndio urudi kuandika pumba zako hapa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bun huendeshwa kwa kanuni na siyo jukwaa la siasa. Upinzani utaisoma namba

Sio kanuni, sema bunge linatakiwa kuendeshwa kama maiti hai, kazi yao ni kumuabudu tu jiwe. Hiyo dunia ya kusujidia viongozi ilishapita.
 
Huwezi ukapereka jinai bungeni! Hakuna aliye juu ya sheria!

Kuhusu akwirini souse mlikuwa chadema, kuhusu mkono na mgongo wa mdee alijitakia mwenyewe .

Kuhusu kanuni mlizosaini kwa ajiri ya kuonyana unapomtukana mwenzio km chadema mnatumia mwanya huo kutukana mjue hiyo ni hiyari ya aliyetukanwa kwenda mahakamani au kwenye kamati yenu.

Chakuwashauri! Fanyeni siasa safi, kutumia mwanya wa maridhiano kutukana watu hakutawapa kura.

Rudi shule ukijifunze kuandika, ukiweza ndio uje uongee na wanaume humu ndani.
 
Back
Top Bottom