infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,092
- 2,150
Unaogopa basha wako asije kuambiwa ukweli kwamba yeye ni rais wa hovyo???Safi alivyozuia hawana jipya wangeropoka ropoka na kupayuka payuka hovyo hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaogopa basha wako asije kuambiwa ukweli kwamba yeye ni rais wa hovyo???Safi alivyozuia hawana jipya wangeropoka ropoka na kupayuka payuka hovyo hovyo
Ushauri makini sana huu.Naunga mkono pendekezo.
Kuna bunge kubwa zaidi huku nje zaidi ya hilo lililopo Dodoma, ambalo kwa kila namna linaonekana ni Bunge la Chama kimoja.
Ukweli ni kwamba hawa wabunge wa upinzani walitakiwa wawe walishaunda mfumo mbadala wa kufikisha mawazo yao kwa wananchi kwa njia nyingine zaidi ya hilo Bunge bandia.
Wabongo gani unazungumzia?Moja ya viongozi ktk taifa hili watakaokufa na kupuuzwa na wabongo ni mgogo huyo......... Iposiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Spika alishatoa muongozo kabla.Wewe ni mpumbavu,hotuba ya upinzani bungeni huwa sio kujibu bali kuibua hoja mbali mbali!Wewe UCD akili zako zimepwaya!
Unaandika kama mpini umo kwenye marinda??/Maboya hao jamaa zako ambao badala wajibu hoja za bajeti ya waziri mkuu wao wanaleta stori za kupigwa mpaka kuvunjwa viuno,na stori za kuvuliwa nguo wakiwa gerezani.
Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu, waziri mkuu ametoa mapendekezo ya bajeti yake,Kub alitakiwa akosoe kama ina mapungufu au la. Alitaliwa akosoe hata mapungufu ya 2019-2020.Sio kuleta habari za tulipigwa wakati sisi ni wabunge,mara Kub hana nyumba na ananyanyaswa,mara Mh Tundu Lissu bado anadai mshahara,mara CAG aliteleza n.k. Subject matter ilikuwa bajeti ya waziri mkuu,Kub alitakiwa akosoe kama ina mapungufu.
Mnataka kusifiwa tu,hotuba nimeisoma ina mambo mazuri tu kwa afya ya ustawi wa nchi yetu!Spika alishatoa muongozo kabla.
Stawisheni kwanza CHADEMA kama mnao uwezo wa kustawisha nchi.Mnataka kusifiwa tu,hotuba nimeisoma ina mambo mazuri tu kwa afya ya ustawi wa nchi yetu!
Wewe ndio kati ta wale Mzee Tupatupa alikuwa anawazungumzia humu LB7,mnakufa na tai shingoni!Stawisheni kwanza CHADEMA kama mnao uwezo wa kustawisha nchi.
Mtu mwenye kipara cha hivi sijawahi kumwona! Yuko yeye tu, ndio maana anasumbua! View attachment 1406015
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana nikasema, wasikilizwe bali wengi waamue . Tatizo liko wapi ?!Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu, waziri mkuu ametoa mapendekezo ya bajeti yake,Kub alitakiwa akosoe kama ina mapungufu au la. Alitaliwa akosoe hata mapungufu ya 2019-2020.Sio kuleta habari za tulipigwa wakati sisi ni wabunge,mara Kub hana nyumba na ananyanyaswa,mara Mh Tundu Lissu bado anadai mshahara,mara CAG aliteleza n.k. Subject matter ilikuwa bajeti ya waziri mkuu,Kub alitakiwa akosoe kama ina mapungufu.
Sidhani kama una nafuu nilizo nazo. Anyway, kama ndo sisi haina taabu tutaendelea kukataa upumbavu wenu humu jf na mitaani; nanyi muendelee kupoza hasira humu jf maana hamna namna njingine.Wewe ndio kati ta wale Mzee Tupatupa alikuwa anawazungumzia humu LB7,mnakufa na tai shingoni!