Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Kutokana na presentation ya Mzee Warioba, nimejifunza kuwa hadi sasa Zanzibar ndiyo determinant wa aina ya muungano unaopendekezwa wa serikali tatu.
Sana tu mkuu. Haya mambo ya two third ndo kikwazo
 
Muungano wa sasa co wa Akina Nyerere. Nimemkoti mzee Warioba
 
Waasisi walituachia Nchi mbili na serikali moja-Warioba
 
Anasema waasisi walituachia nchi moja serikali 2 sio nchi 2 serikali 2 ndicho kinachotokea sasa.
 
Najiuliza hivi yale wasaa mawili ambayo mzee SIX alitaka kumpa Warioba alitumia vigezo gani? Kama sikosei kashatumia masaa 3:30 still more to count!

Hawakuwa wanataka hizi nondo azitoe kwa undani namna hii
 
Nashauri wananchi rupige kwanzq kura ya kuamua quna ya muungqno tuupendao. Naona warioba anaanza kutuchangamya
Ni mapema mno kuchanganyikwa, kura gani tena zaidi ya kura ya maoni?
 
Zanzibar will free Tanganyika.

Can't wait.......nime print bendera za kutosha kusheherekea!

tz-tng.gif
 
Pointi kuu ni hii:
"Muungano wa serikali mbili uliopo sasa haufanani kabisa na ule tulioachiwa na waasisi wetu yaani mwl. Nyerere na Sheik Abeid Amani Karume"

hongera sana warioba.
 
Naishiwa nguvu kwa jinsi warioba anavyotetea kitu ambacho hakina uhalisia. Anetumia muda mwingi kupendekeza serikali moja ningemuoma wa maana sana

Mkuu kwani hayo ni maoni binafsi ya Warioba?
 
Naona kuna hatihati ya muungano kuelekea kubaya baada ya hotuba hii ya jaji warioba
 
Kwa hiyo kama wanawake wawili wamekushinda ndo uamue kuoa mke wa tatu? Si unarudi kuwa na mmoja tu au kutokuwa na mke kabisa?

Mfano wako ni wa vijiwe vya kahawa haufai kufuatwa!sema inatakiwa uamue ku centralize au decentralize madaraka kama mfumo uliopo haufai
 
Mafuta na gesi ya zanzibar ni ya zanzibar,mafuta na gesi ya tanzania bar ni ya muungano hili haliwezi kukubalika
 
JK atakuwa na kazi ngumu sana ya kupangua hizi hoja...maana Mzee Warioba anatoa hoja kwa vielelezo...ni ngumu kwelikweli.
Sidhani kama ana dhamira hiyo ila kama itakuwa hivo huo utakuwa ni utoto. Nitakumbuka Richmond aliposema mmiliki wake hamjui ila huyo jamaa alipoamua kuja kuonana nae mheshimiwa akapaa kwenda Comoro.
 
Back
Top Bottom