Najiuliza hivi yale wasaa mawili ambayo mzee SIX alitaka kumpa Warioba alitumia vigezo gani? Kama sikosei kashatumia masaa 3:30 still more to count!
Ni mapema mno kuchanganyikwa, kura gani tena zaidi ya kura ya maoni?Nashauri wananchi rupige kwanzq kura ya kuamua quna ya muungqno tuupendao. Naona warioba anaanza kutuchangamya
Zanzibar will free Tanganyika.
Naishiwa nguvu kwa jinsi warioba anavyotetea kitu ambacho hakina uhalisia. Anetumia muda mwingi kupendekeza serikali moja ningemuoma wa maana sana
Kwa hiyo kama wanawake wawili wamekushinda ndo uamue kuoa mke wa tatu? Si unarudi kuwa na mmoja tu au kutokuwa na mke kabisa?
Sana tu mkuu. Haya mambo ya two third ndo kikwazo
Hata hizi serikali tatu tunajisumbua tu. wangekuja na maoni pia ya ambao hawautaki kabisa huu muungano.
Sidhani kama ana dhamira hiyo ila kama itakuwa hivo huo utakuwa ni utoto. Nitakumbuka Richmond aliposema mmiliki wake hamjui ila huyo jamaa alipoamua kuja kuonana nae mheshimiwa akapaa kwenda Comoro.JK atakuwa na kazi ngumu sana ya kupangua hizi hoja...maana Mzee Warioba anatoa hoja kwa vielelezo...ni ngumu kwelikweli.
Can't wait.......nime print bendera za kutosha kusheherekea!
upuuzi mtupu