Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
CCM ni wanafiki sana , wanasema serikali mbili huku wao wakiipeleka maoni kwa Warioba ya Serikali tatu.....shame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani wana serikal 53 na uraia mmoja
Uingereza wana serikali zaidi ya tatu na uraia mmoja
urusi wana serikali nyingi na uraia mmoja.\
Wewe unaishi ulimwengu tulio wote au ulimwengu wako ni CCM tu?
kenge wewe alichoeleza na ushahidi wa tume ni mawazo yake?Umewauliza wajumbe wa tume kuwa hawana mawazo na sahihi zao ktk report? Kima wewe,sasa hivi umebadili mikao hadi nyeti zinatoka jasho kwa kukosa hewa.Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
god bless this mzee..thanx god kwamba hata 6 mungu anamtumia bila jijua kulipua ccm na kuwapa haki watanzania bila upanga. This yr hata mbwa watakuja tetea watanzania na tanganyika yetu.kuna mtu hapa jf aliwahi kuuliza kama tanzania ina national hero, nashukuru mungu we have one in the shape of warioba!
tusubiri na hiyo hotuba ya mheshimiwa rais.
Niiiiiice...Kawasihi vyema.