Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Kwa mtazamo wangu, naona mambo yote yaliyosemwa na jaji Warioba kama yataungwa mkono na wabunge wa bunge maalum, muungano utakuwa umefika hatma yake. Suala la kusema kuwa wananchi wa pande zote waruhusiwe kwenda upande mmoja wa muungano na kutibiwa bila ubaguzi haliwezi kuwa effective kwa sababu msing wa undugu wetu umebomolewa na yaliyoelezwa na Warioba. Ni mtazamo wangu
 
Marekani wana serikal 53 na uraia mmoja
Uingereza wana serikali zaidi ya tatu na uraia mmoja
urusi wana serikali nyingi na uraia mmoja.\

Wewe unaishi ulimwengu tulio wote au ulimwengu wako ni CCM tu?


Leo wananchi tumejua kwa nini Mheshimiwa sana Six alitaka ampe Mzee Warioba saa moja,leo wamenyeshwa dawa chungu kweli,tuwape pole tu.
 
Warioba amesema kuwa hawakupiga kura katika kufikia mqqmuzi. Qnatoa somo gani juu ya kura ya siri inayoshabikiwa na wabunge na ile kura ya Wazi?
 
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
kenge wewe alichoeleza na ushahidi wa tume ni mawazo yake?Umewauliza wajumbe wa tume kuwa hawana mawazo na sahihi zao ktk report? Kima wewe,sasa hivi umebadili mikao hadi nyeti zinatoka jasho kwa kukosa hewa.
 
Kwa nondo za leo naziona hoja za akina Sendeka na wengine niliowasikia hivi karibuni kupinga tume ya Warioba zilielea elea bila mashiko! je watajenga hoja gani tena?
 
Kwakweli Sidhani Kama Serikali Tatu Zitatatua Kero Za Muungano...Otherwise Kaongea Vizuri .....
Nakuunga mkono. Hakika kaongea vizuri. Hii ni sawa na kuandaa msosi mzuri ndani yake ukaweka sumu
 
kuna mtu hapa jf aliwahi kuuliza kama tanzania ina national hero, nashukuru mungu we have one in the shape of warioba!
god bless this mzee..thanx god kwamba hata 6 mungu anamtumia bila jijua kulipua ccm na kuwapa haki watanzania bila upanga. This yr hata mbwa watakuja tetea watanzania na tanganyika yetu.
 
CCM hoi....wanaenda kutana tena ili wajadili ngumi za uso za warioba na kuja na uongo mwingine wa kumponda Warioba.
 
Chabruma nakusihi uifuatilie nakala ya hotuba hii utubandikie hapa
 
Last edited by a moderator:
Makamu mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba naye atoe neno ambalo limewekwa kama salamu kwa wajumbe.
 
Leo nafunga na kusali kumuombea maisha marefu na yenye furaha Mzee wetu huyu Warioba, Mungu akuzidishie baraka tele
 
Back
Top Bottom