Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Ujinga ni Kipaji , kama wewe ni kijana basi ni ki umri tuu na sio kimawazo....
 

MKUU , HUYU WARIOBA nimeMSAMEHE DHAMBI ZOTE ALIZOTENDA ALIPOKUWA WAZIRI MKUU .
 
UTAFITI HURU UNAONYESHA KUWA TUNDU LISSU NDIYO mwanasheria BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA EAST AND CENTRAL AFRICA , TANGU MUNGU ALIPOUMBA MBINGU NA ARDHI !
Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.
 
Mimi nipo pamoja na rais wangu pamoja na Warioba na watanzania, hayo unayoandika mimi hayanihusu, mimi naangalia taifa langu, sishikiwi akili na chama cha siasa au mtu yeyote.
 
Wazenj walikuwa walikuwa ....kidogo wanapata shida na hofu mtu wa bara anaponyoosha mistari..halafu anagusa kipande kilichopindia kwao..ila wanashangilia kinanyooshwa kilichopindia upande wa Tanganyika.Leo ndio wanaanza pata uelewa n azile akili za kukaririshwa ..kuwa fulani hana nia njema..sijui nani hana nia njema.
 
Lissu na Warioba watetezi wa wazanzibari. leo bunge lote wazenji meno yote nje!!

Hahahahaaaaa! Mi nilikuwa namuangalia Prof Maghembe, Prof Tibaijuka, Wassira, Pinda, Werema, yaani walivyokuwa wanasikiliza utadhani labda ni wanafunzi wako mle Nkrumah hall wanamsikiliza lecturer anateremsha utirio.

Wazanzibar, haki ya nani, hii fursa mkiichezea mmekwisha na pengine ndiyo itakuwa ntolee milele, maana mnahitaji jambo gani jipya na lililoongelewa kwa umahiri mkubwa zaidi ya haya ya leo mliyopewa?

Akili kwenu..........mmeshaambiwa, wapo miongoni mwenu wanauchukulia muungano kama suala la viongozi, na ndiyo wanaowayumbisha huko Zenji hadi mnakuwa kama nani hii........haijulikani location yake........ukisimama, inahama.....ukichuchumaa inahama,!
 
 
Walikataa kuwasha taa nyekundu ili ujue kuwa kuna tatizo!

Taa nyekundu barabarani ikiwashwa ina ashiria makubwa!

Na kama una akili nzuri huwezi hoji ni kwa nini ile taa nyekundu iliwaka!

Shirikisha akili yako unapo weka comment hapa JF!

Sasa jana walikataa nini na leo wanakubali nini!!
 
Sina budi kuonyesha furaha yangu kwa kumshukuru Jaji Warioba wa kazi nzuri tena ya kuweka Taifa mbele kuliko hisia zake au uchama wake.. Kwa kweli siku ya leo nimejivuna kuwa Mtanzania.. Sikujua kuwa bado tunawazee wenye hekima na busara kama Jaji Warioba kwani nilijua katika taifa letu tumebaki na akina Sitta, Lowassa, Sendeka na nk.

Asante sana Mzee Warioba Mungu akupe maisha marefu ili uweze kuiona ile Tanzania tuitakayo.. Asante Asante Asante Jaji Warioba na Timu yako.
 
Mkuu CHAZA

Nchi kwanza vyama baadae watanzania wengi wanataka serikali tatu hakuna haja ya kuwakatilia.
Mungu akubariki Ritz kwa kuutambua na ujasiri wa kuukiri ukweli.by the way vyama na sera zinapita lakini umoja na nchi yetu vitabaki milele. aidha hapa hakuna mshindi kama kalenga bali watanzania ndio tumeshinda kwa ujumla wetu
 
Wameshikwa pabaya si
walikua wanatishia kujamba wakati wanaharisha ngoma ndo hiyoo serikali
tatu tuwaachie na kisiwa chao..

Kwi kwi kwi teh teh teh!! Kwa hiyo! Baada ya kujamba, ikawaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…