respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Wewe humjui Ritz
Omg! Shetani kaokokaa, Karibu kwenye mstari mwana mpotevu.!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe humjui Ritz
wamesemaje jamani?? tupeni nondo...wanataka govt 3 au moja?
Jk kazoea kukaa na kina
Sophia simba ndo maana anapenda mipasho hâta kwa mambo ya msingi sijui
huwa ana laana
Sasa hakuna tena Ubishi kuwa ,sasa kila mtu anawaelewa hawa jamaa kuwa ni watu w akucheza na mistrari..hawali kwao wala kwa mtu.Kabla watu hawakuwajua sana .Na wengi walianza wachukia na kuwakejeli kuwa wana maawazo mgando, wana chuki binafsi.Sasa walioelewa wameelewa walio,chukia wapo busy tunga uongo mwingine wa kuendeleza mjadala.By now mashujaa waliopo na wanaoshikilia muungano ni hawa wawili...TUNDU LISSU NA WARIOBA KM KIONGOZI WA TUME
Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.UTAFITI HURU UNAONYESHA KUWA TUNDU LISSU NDIYO mwanasheria BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA EAST AND CENTRAL AFRICA , TANGU MUNGU ALIPOUMBA MBINGU NA ARDHI !
Mimi nipo pamoja na rais wangu pamoja na Warioba na watanzania, hayo unayoandika mimi hayanihusu, mimi naangalia taifa langu, sishikiwi akili na chama cha siasa au mtu yeyote.Mtakubali tu mtapinga vitu viko wazi; watanzania wote sasa wamesikia sijui mtapotoshea tena watu wapi. Mnamtukana mzee wa watu hadharani bila kosa, kisa kusema ukweli. Hii laana lazima iwatafune. Otherwise kina nape, majura, na wengineo mliomtukana waroba muobe msamaha mbe;le ya watanzania. Warioba amewakosea nini. Warioba amenifanya leo nijikute natokwa machozi, yaani nimelia km dakika tano hivi bila kujua nini kinaniliza. Da Mungu ampe maisha marefu mzee weu Joseph Sinde Warioba. Du kweli watz... bas tu.
Ningekujibu lakini nahofia tamvunjia heshima mama yako.Omg! Shetani kaokokaa, Karibu kwenye mstari mwana mpotevu.!
Lissu na Warioba watetezi wa wazanzibari. leo bunge lote wazenji meno yote nje!!
Mwenyezi Mungu azidi kumsimamia na kumlinda katika yote kwa kuendelea kwake kusimama na kunena ukweli.
Halmashaur ya Manispaa ya Kinondon imefuta mashamba yote yaliyopo wilaya ya Kinondon,including Ya Bunju ambayo yatagaiwa as viwanja,sasa tutaheshimiana mjini tu,wataenda kwenye field zao za zaman,kama kuchunga mbuz,[/QUOTE]
hahahahahahahaha umenilimaliza hapo kwikwikwi kuchunga mbuzi.
wanasiasa wengi ni wavivu hawatak kufanya kazi wanauza maneno tu wapate pesa,sasa huku sisi tunafanya kaz hakuna maneno,uwe na taaluma yeyote lazima ufanye kaz,sasa mara nyingi wakiachana na siasa hupotea na hufa kwa vihoro,#mtaanihakunaposho
Sasa jana walikataa nini na leo wanakubali nini!!
Mungu akubariki Ritz kwa kuutambua na ujasiri wa kuukiri ukweli.by the way vyama na sera zinapita lakini umoja na nchi yetu vitabaki milele. aidha hapa hakuna mshindi kama kalenga bali watanzania ndio tumeshinda kwa ujumla wetuMkuu CHAZA
Nchi kwanza vyama baadae watanzania wengi wanataka serikali tatu hakuna haja ya kuwakatilia.
Wameshikwa pabaya si
walikua wanatishia kujamba wakati wanaharisha ngoma ndo hiyoo serikali
tatu tuwaachie na kisiwa chao..