Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Natamani ile ndege ya Malaysia ingekua imewachukua na hawa wabunge wa bunge la katiba and Nape & the company.
 
Mwenyezi Mungu azidi kumsimamia na kumlinda katika yote kwa kuendelea kwake kusimama na kunena ukweli.
Ahsante sana mkuu kwa kuiweka humu jamvini hotuba hiyo. Hakika wengi walikuwa wanaiulizia sana
 
Cheki Pinda anavyowalambisha wenzake magarasa, kumbe ofisi yake imeshapendekeza serikali Tatu, lakini kwenye media anajifanya eti msimamo ni serikali mbili.
 
Ni sawa mkuu, makosa ya rais nimeyaeleza katika mchango wangu awali. Nakubaliana na wewe kwa sehemu kubwa. Kabla ya kujadili Katiba mpya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sharti tueleze wazi kuwa Zanzibar wamevunja Katiba. Wakubali kuwa wamevunja Katiba. Pili waelezwe athari za kuvunja Katiba ni kuvunja Muungano. Sasa kama wana nia ya dhati ya kudumisha Muungano wafute vipengere vinavyovunja Muungano. Kama hawakubaliani na hilo, basi waondoke kwenye Bunge Maalum ya Katiba kwa kuwa wao tayari wana Katiba yao. Maadamu wanasema Serikali ya Tanganyika imejificha ndani ya Serikali ya Muungano na wakaona suluhu ni kujitungia Katiba yao in maana moja tu! Katiba inayojadiliwa sio yaona haiwahusu. Wakiri kosa kiisha warudi kwenye mstari. Sielewi kwa nini CCM wanajifanya wazalendo huku wanachukia vitendo vya wenzao wa Zanzibar.
Kama ni viongozi wamekosea waambiwe ukweli pasipo Kificho. Unaposema Warioba ni Genius, kwa sababu amewapa mtego viongozi waliotufikisha hapaili watatue wenyewe tatizo hili. Sio kweli. Viongozi walioshindwa kuliona tatizo wakati wa kutunga Katiba ya Zanzibar watawezaje kutata tatizo gumu hili pasipo kuuvunja Muungano? Utampaje swali lenye mtego mwanafunzi wako wakati wa mtihani wa mwisho? Utamfundisha lini kutegua mtego asio uweza na hajafundishwa?Warioba ni kama mchezaji hodari wa kupiga chenga, lakini hana uwezo wa kufunga gori.
 



nA NDO MAANA WANAOOMBA KURA YA SIRI WANATAKA KUWATISHA WALE WENYE MLENGO WA KUTAKA SERIKALI TATU NDANI YA CCM
 

Mkuu kwa maelezo haya yaliyoshiba ya baba yetu jaji WARIOBA sitashangaa kama ijumaa tutapewa udhuru......
 


Kwa nini unasema kuna tatizo? Mtu asiyeamini hayo ndo ana tatizo. Ofisi inayotakiwa kuangalia na kutatua kero za muungano ikisema serikali 3 ujue ndo mbinu ya kutatua kero za muungano! tatizo liko kwa mtu kama Nape anayeambiwa mbinu za kuondoa kero yeye anakataa na kusema msimamo wa chama ni huu. Who or what is chama?

Chama kinafanywa kuwa ni kitu cha kipuuzi, kinachosema mampo ya hovyo hovyo tu! Hiyo haikubaliki kabisa!
 

sijui nikupe zawadi gani, umehit point mkuu!!!
Asante sana
 
Sasa wabunge wa bunge la katiba baada ya kusoma haya yote muache unafiki wa kichama, mfanye maamuzi magumu kwa maslahi yetu sote. Nitawashangaa Wazanzibar kufanya unafiki kwenye jambo hili. Kila kitu kiko wazi na Warioba hakumumunya maneno!
 

asante, mtajua tu muda si mrefu kikwete ni nani
 
Cheki Pinda anavyowalambisha wenzake magarasa, kumbe ofisi yake imeshapendekeza serikali Tatu, lakini kwenye media anajifanya eti msimamo ni serikali mbili.

huo utakuwa ni wa kwake binafsi, sio wa ofisi yake!
 
Bora wewe jaji waambie kweli hawa jamaa zenu.ndio tatizo la nchi hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…