Mwanangu Derrick naomba ulete madaftari yako ya jiografia kidato cha tatu kuna topic moja ninakumbuka ya RESEARCH hapa jf kuna watu hawafahamu haya mambo ya sampling! Pambaaaaf kabisa!,Kwa matazamo wangu sidhani kama watanzania waliowengi wanaafiki suala la muundo wa serikali tatu eti kwasababu mwenyekiti wa tume amesema. Sidhani kama takribani watu 16,000 elfu wanaweza kubeba haki za watanzania walio wengi?????
- ha! ha1 ha! ha! kaka nimeuliza tu maana nimeona kwamba CCM hatuaminiani maana yake ni kwamba Wapinzani wa Tanzania wanaaminiana au nimekosea kaka? ha! ha1 ha!
Le Mutuz[/QUOTE=KARATU70]
MUTUZ KUUBWAA AKILI 0
- ha! ha! ha! ha! wewe unanivunja mbavu! ha! ha!
Le Mutuz
Ccm mwisho wao umekaribia
Aende wapi? Yupo anapumzika!!Vipi John Komba yupo?
- ha! ha! ha! ha! wewe unanivunja mbavu! ha! ha!
Le Mutuz
Hivi The Mutuz, ccm inatetea mawazo ya akina nani? Maana watz waliotoa maoni kuhusu muungano asilimia 60 wanataka serikali 3! Sasa nyinyi mnatoa wapi hayo mamlaka ya kulazimisha serikali 2? Mh makamba kasema kwenye tweet acc yake kuwa ccm watatumia wingi wao kupitisha serikali 2.
Natamani ile ndege ya Malaysia ingekua imewachukua na hawa wabunge wa bunge la katiba and Nape & the company.
- ha! ha! ha! ha! wewe unanivunja mbavu! ha! ha!
Le Mutuz
Ka'taahira vile!!!
Bora wapinzani tunajua hawaaminiani na hilo tunaliona wazi, sasa ccm mkiwa chemba mnataka serikali tatu but kwenye media mnataka serikali mbili sasa tutawaelewa vipi? Hapo kuna kuaminiana kweli? Hivi kaka serikali ya tanganyika iko wapi? Katiba yake iko wapi? Na mamlaka yake ndani ya muungano ni yapi? Ebu angalia zanzibar wana katiba yao,nk! Je kwanini tusidai serikali ya tanganyika?
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Mzee huyu alisifiwa sana na ccm kabla hajaweka wazi msimamo wa wadau wengi kuwa wanataka serikali 3,leo kawa adui mpk katengwa na jamii yanaccm ila watanzania bado tunamthamini na kumpa heshima za kipekee.
Mda mwingine unatamani rais wa nchi hii awe kama warioba,mtu anaethamini mawazo ta watanzani zaidi kuliko mawazo ya chama,watu wazima wenzangu tuigeni hekima hizi
Sasa jana walikataa nini na leo wanakubali nini!!