Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Mwanangu Derrick naomba ulete madaftari yako ya jiografia kidato cha tatu kuna topic moja ninakumbuka ya RESEARCH hapa jf kuna watu hawafahamu haya mambo ya sampling! Pambaaaaf kabisa!,Kwa matazamo wangu sidhani kama watanzania waliowengi wanaafiki suala la muundo wa serikali tatu eti kwasababu mwenyekiti wa tume amesema. Sidhani kama takribani watu 16,000 elfu wanaweza kubeba haki za watanzania walio wengi?????
