Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani wana serikal 53 na uraia mmoja
Uingereza wana serikali zaidi ya tatu na uraia mmoja
urusi wana serikali nyingi na uraia mmoja.\
Wewe unaishi ulimwengu tulio wote au ulimwengu wako ni CCM tu?
Jk kazoea kukaa na kina Sophia simba ndo maana anapenda mipasho hâta kwa mambo ya msingi sijui huwa ana laana
Mkuu umewahi kuona wapi mtu anatoka nchi nyingine na kwenda kupiga kura nchi nyingine au kugombea uongozi nchi nyingine.
...una uhuru wa kuchagua kuamka, au kundelea kulala.Mawazo yko ndio ujinga wako.
Div 5 mko wengi
Warioba kamaliza sisi tutajua namna ya kufanya kile ambacho watanzania wanataka wala hatujali chochote ila ni matakwa ya watanzania basi.
Saluti Mzee warioba.
Baada ya wasilisho la Mzee Warioba leo bungeni, Nimejua ni namna gani nchi hii imebarikiwa kwa kuwa na wasomi wachache wenye uzalendo na wanao jua kusimamia ukweli wa wanayo yaamini, Kwa hoja makini zenye maswali na majibu aliyotoa mzee huyu, nashindwa kuelewa JK anaenda kuongea nini kinyume na hoja makini zenye uchambuzi mujarabu kiasi kile.
Shikamoo Mzee Warioba, Nimejifunza kitu kipya kwako leo.
Nasubiri tu hiyo ijumaa hakika, Mungu nipe uhai tu ili nione live kiongozi wetu wa nchi atasema nini na watanzania. Ajue tu kuwa haongei na wanaccm bali anaongea na watanzania. Asituletee uchama.
Unajua kuwa kuna watu hawalali wanamuomba Mungu kwa ajili ya hili?god bless this mzee..thanx god kwamba hata 6 mungu anamtumia bila jijua kulipua ccm na kuwapa haki watanzania bila upanga. This yr hata mbwa watakuja tetea watanzania na tanganyika yetu.
Kwa taarifa yako nilisoma enzi ambazo shule za serikali ndizo zilikuwa zinatoa elimu bora zaidi. Ukweli unabaki pia wazi kuwa wewe ndiye unaonyesha usivyotaka kuona zaidi ya pua yako.
Hapo nimuimu sana mkuu wa nchi kuzingatia.
Bosi umenifanya nilie kwa furaha ya ajabuKama ingekuwa uwezo wangu huyu mzee ningemtunuku PHD na kisha UPROF mara moja sijawahi na sitarajii tena katika maisha yangu kusikia uwasilisho wa hali ya juu popote Tanzania katika kipindi cha misha yangu yaliyobaki kwenda katika nyumba ya milele. Jaji, Dr, Prof Warioba wewe ni zaidi jaji. mun
gu akulinde umenifanya kujiona mwenye hazina na uzalendo mkubwa sana wa nchi hii baada ya uwasilisho wako. ahsante mungu baba kwa kumuumba Jaji Joseph Sinde Warioba na kumpa nguvu