Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Jk kazoea kukaa na kina Sophia simba ndo maana anapenda mipasho hâta kwa mambo ya msingi sijui huwa ana laana
 
Hakika amelizindua, tunaomba mipasho na taarabu ziepukwe Ijumaa!!! Wananchi waliamua, tume members hawakupiga kura. Tuachieni demokrasia yetu. Msitaka kutupiga mijeledi ili twende mnapotaka. Bunge hili limeweka uchama pembeni, katiba msileta vyama ndani, ni wananchi wa vyama vyote walitoa maoni na kila taasisi kubwa ilifanyiwa consultation. Mwishowe kuna analysys na majority takes the lead!!!
 
Marekani wana serikal 53 na uraia mmoja
Uingereza wana serikali zaidi ya tatu na uraia mmoja
urusi wana serikali nyingi na uraia mmoja.\

Wewe unaishi ulimwengu tulio wote au ulimwengu wako ni CCM tu?

Hao ni akina Simiyu Yetu. When people are talking about the global, them they will think you are talking about the earth!!
 
Last edited by a moderator:
Jaji warioba he good in making analysis and making clarification clearlly
 
Jk kazoea kukaa na kina Sophia simba ndo maana anapenda mipasho hâta kwa mambo ya msingi sijui huwa ana laana

Nasubiri tu hiyo ijumaa hakika, Mungu nipe uhai tu ili nione live kiongozi wetu wa nchi atasema nini na watanzania. Ajue tu kuwa haongei na wanaccm bali anaongea na watanzania. Asituletee uchama.
 
Pendekezo:

Shujaa Mzalendo Jaji Joseph Warioba apewe ulinzi maalumu na Serekali kwa kipindi chote cha maisha yake.
 
Mkuu umewahi kuona wapi mtu anatoka nchi nyingine na kwenda kupiga kura nchi nyingine au kugombea uongozi nchi nyingine.

Kamuulize gwiji Jaji Warioba, Jaji Augustino Ramadhan, Kamisna Polepole, wao wako fit kisheria na kiueledi, wao wametoa nondo zote juu ya swali hilo. Ama kama hujawahi kuona basi utaona Tanzania.
 
Warioba kamaliza sisi tutajua namna ya kufanya kile ambacho watanzania wanataka wala hatujali chochote ila ni matakwa ya watanzania basi.

kwa mara ya kwanza ndo nimeona umeushirikisha ubongo kutoa koment.
Warioba si mnafiki, sasa tuachieni wananchi tuamue.
 
Baada ya wasilisho la Mzee Warioba leo bungeni, Nimejua ni namna gani nchi hii imebarikiwa kwa kuwa na wasomi wachache wenye uzalendo na wanao jua kusimamia ukweli wa wanayo yaamini, Kwa hoja makini zenye maswali na majibu aliyotoa mzee huyu, nashindwa kuelewa JK anaenda kuongea nini kinyume na hoja makini zenye uchambuzi mujarabu kiasi kile.

Shikamoo Mzee Warioba, Nimejifunza kitu kipya kwako leo.

Kama ingekuwa uwezo wangu huyu mzee ningemtunuku PHD na kisha UPROF mara moja sijawahi na sitarajii tena katika maisha yangu kusikia uwasilisho wa hali ya juu popote Tanzania katika kipindi cha misha yangu yaliyobaki kwenda katika nyumba ya milele. Jaji, Dr, Prof Warioba wewe ni zaidi jaji. mungu akulinde umenifanya kujiona mwenye hazina na uzalendo mkubwa sana wa nchi hii baada ya uwasilisho wako. ahsante mungu baba kwa kumuumba Jaji Joseph Sinde Warioba na kumpa nguvu
 
Nasubiri tu hiyo ijumaa hakika, Mungu nipe uhai tu ili nione live kiongozi wetu wa nchi atasema nini na watanzania. Ajue tu kuwa haongei na wanaccm bali anaongea na watanzania. Asituletee uchama.

Hapo nimuimu sana mkuu wa nchi kuzingatia.
 
Hio ndio Nguvu ya hoja toka kwa jaji msomi
Na mzalendo wa nchi hii Joseph Sinde Warioba
Waliokuwa wanataka elimu ya serikali tatu Leo
Wamepata shule itakayodumu kwa vizazi vyote
Sio ile elimu uchwara ya ole sendeka ya Jana
Star tv . Angepewa na yeye Leo asalimie wajumbe
Hovyo sana huyu mzee wa kimasai
 
god bless this mzee..thanx god kwamba hata 6 mungu anamtumia bila jijua kulipua ccm na kuwapa haki watanzania bila upanga. This yr hata mbwa watakuja tetea watanzania na tanganyika yetu.
Unajua kuwa kuna watu hawalali wanamuomba Mungu kwa ajili ya hili?
Yaani hakuna.kulala manaake watu wamejisahau sn wanafikiri Mungu hayupo na kutaka kipitisha yao.
Ss tunabatilisha yote kwa jina la Yesu na watu ndo wataamini Mungu yupo
 
Kwa taarifa yako nilisoma enzi ambazo shule za serikali ndizo zilikuwa zinatoa elimu bora zaidi. Ukweli unabaki pia wazi kuwa wewe ndiye unaonyesha usivyotaka kuona zaidi ya pua yako.

mkuu hao wasioona zaidi ya urefu pua zao wapo wengi upande wa kijani miongoni ni ole sendeka,na yule mashavu kuvimba pindi chana!
 
Hapo nimuimu sana mkuu wa nchi kuzingatia.

Ijumaa ni siku nyingine tena ya kuthibitisha maneno ya J.J. Mnyika na hapa namnukuu, 'tumefika hapa tulipo (umasikini, rushwa, mauaji, dhuluma, nk nk) kwa sababu ya udhaifu wa kikwete'.
 
Kama ingekuwa uwezo wangu huyu mzee ningemtunuku PHD na kisha UPROF mara moja sijawahi na sitarajii tena katika maisha yangu kusikia uwasilisho wa hali ya juu popote Tanzania katika kipindi cha misha yangu yaliyobaki kwenda katika nyumba ya milele. Jaji, Dr, Prof Warioba wewe ni zaidi jaji. mun

gu akulinde umenifanya kujiona mwenye hazina na uzalendo mkubwa sana wa nchi hii baada ya uwasilisho wako. ahsante mungu baba kwa kumuumba Jaji Joseph Sinde Warioba na kumpa nguvu
Bosi umenifanya nilie kwa furaha ya ajabu
Nimeshindwa kuzuia machozi
Kweli abarikiwe Mungu aliemuumba na kumpa
Uzima hadi sasa mweshimiwa sana
Jaji msomi na mzalendo Joseph Sinde
Warioba
 
Back
Top Bottom