Mkuu, huyu ni fisi, kila mfupa anatamani.Mkuu, kwani kuna anayekuzuia wewe kufaidi? Huenda wakwako ni bora zaidi kuliko huyo unayemtamani
Anaacha mada muhimu, yeye anaongelea uzinzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, huyu ni fisi, kila mfupa anatamani.Mkuu, kwani kuna anayekuzuia wewe kufaidi? Huenda wakwako ni bora zaidi kuliko huyo unayemtamani
Hahahahahaaa!
Duh! Lakini hawa jamaa hawatoagi macho bhana!
Mbona simkumbuki alietolewa macho? Embu nikumbushe!
Rai wa nchi nyingine aruhusiwe kwenda kupiga kura na kugombea uongozi popote hii nayo imekaaje kisheria.
warioba ni jembe, huyo sendeka hana lolote kazi kupayukapayuka tuu, anafikiri yuko simanjiro na wamasai wenzake,nimeangalia sana hili bunge kuanzia mwanzo kupitisha kanuni sendeka alikuwa msumbufu sana ,tungekuwa na kiranja angemwandika kwenye orodha ya wasumbufu akapewa adhabu.yeye yuko kichama zaidi na siyo ki utaifa.
tehe tehe teheHata hivyo sita kaona ccm
wanakizunguzungu akawaokoa semina isifanyike kumi na moja ili wakapigwe
upepo kidogo wangeweza zimia kwa nondo za jaji
Mowapo ya hoja za gwiji .
.. Zanzibar ni nchi, ina mipaka yake, bendera na wimbo.' Kwa maneno rahisi anasema ' Zanzibar imevunja Katiba ....
Mimi binafsi ningemwita Warioba mtu mwoga wa kuwambia ukweli Wazanzibar kuwa wametunga katiba inayokiuka Katiba mama. ...
Warioba ni mwoga kumwambia JK KUWA NI RAIS DHAIFU kwa kufumbia macho Zanzibar ilipokuwa inatunga Katiba inayokinzana na Katiba kuu. ... Uwoga unaubatizaje kwa jina UGWIJI?
.. Observation nzuri sana Mkuu.Warioba na tume yake wanastahili pongezi hasa kwenye serekali 3.Simuelewi kwenye uraia mmoja wakati nchi ni 2.pia raia wa kila upande waweze kutumia huduma sawa wakati uchangiaji si sawa?unyonyaji wa Tanganyika!
MKUU SISI TUNAO SOMA mnachoandika mnatuchanganya. Mkuu Setuba Noel ameandika hivi......Kasema muungano wa serikali mbili waliotuachia waasisi sio huu wa sasa. waasisi walituachia nchi moja yenye serikali mbili, siyo nchi mbili zenye serikali mbili. Babu anaua kinoma.
SASA wewe umesema kinyume, so who is saying what na nani amemnukuu Warioba vizuri....Nchi moja serikali mbili ama nchi mbili serikali moja?
Warioba ni mtu makini nakubaliana nae kwenye huu mchakato wa Katiba yetu.
WARIOBA ALIPOOMBA KWENDA KUPUMZIKA NIKAJUA ANAKUJA MALIZIA GAME.Aliwaacha maCCM wazidi kuwa confused kwa fikra zao wenyewe, na kudigest alichotangulia kisema.Halafu akaja piga score za mwisho...