Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Sendeka mwehu..mtu kakana hadi masai wakati watu wakijadili mavazi ya ya bunge hili
 
Jamani naomba umnipe updates za asubuh kuhusu uwasilishwaj wa rasimu ya katibu. Vipi warioba ametiliamkazo kweye yap? Plz help me friends.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Muungano ni wa hiari, serikali 1 na 2 haiwezekani kutokana na malalamiko makubwa pande zote za muungano, serikali 3 ndio muafaka .,, mm nimeshika hapo katika hotuba yk
 
Alienda kupiga kiki dah
Haha..na itakuwa kubwa...Hadi CCM wakawa wanakimbia vimemo..aliniua aliposhangaa kuwa pinda haendi kagua miradi ya maendeleo zenj,..na hata JK mwenyewe hawezi kwenda kagua miradi ya maendeleo zenj....
 
Warioba kakosha nyoyo za wazenj na watanganyika.....kwa sasa ndio anayeshikilia muungano wetu....hata akina Jussa waliokuwa wakimpigia kelele..sasa ndio wanatambua walichokuwa wakiongea
 
Nashukuru kaka Ritz, tuko pamoja, tumeelewa nini Rasimu imetoa, na kuwa muundo ule uliopendekezwa ni maoni ya wananchi na mfumo wake ukawekwa sawa na tume, na lengo ni kulinda pia Muungano, serikali2 kwa sasa haiko kama zilivyoachwa na waasisi!
Mkuu CHAZA

Nchi kwanza vyama baadae watanzania wengi wanataka serikali tatu hakuna haja ya kuwakatilia.
 
Last edited by a moderator:
Warioba ni mtu makini nakubaliana nae kwenye huu mchakato wa Katiba yetu.

Mtakubali tu mtapinga vitu viko wazi; watanzania wote sasa wamesikia sijui mtapotoshea tena watu wapi. Mnamtukana mzee wa watu hadharani bila kosa, kisa kusema ukweli. Hii laana lazima iwatafune. Otherwise kina nape, majura, na wengineo mliomtukana waroba muobe msamaha mbe;le ya watanzania. Warioba amewakosea nini. Warioba amenifanya leo nijikute natokwa machozi, yaani nimelia km dakika tano hivi bila kujua nini kinaniliza. Da Mungu ampe maisha marefu mzee weu Joseph Sinde Warioba. Du kweli watz... bas tu.
 
Sasa hakuna tena Ubishi kuwa ,sasa kila mtu anawaelewa hawa jamaa kuwa ni watu w akucheza na mistrari..hawali kwao wala kwa mtu.Kabla watu hawakuwajua sana .Na wengi walianza wachukia na kuwakejeli kuwa wana maawazo mgando, wana chuki binafsi.Sasa walioelewa wameelewa walio,chukia wapo busy tunga uongo mwingine wa kuendeleza mjadala.By now mashujaa waliopo na wanaoshikilia muungano ni hawa wawili...TUNDU LISSU NA WARIOBA KM KIONGOZI WA TUME
 
Ni majuzi tu, Tumepata Ushindi Tulipotetea kiti cha Ubunge Jimboni Kalenga, lakini leo furaha hata haijaisha Mzee Warioba Hapa Bungeni kashusha Points za Tume kuhusu serikali Tatu, katia Nyongo Furaha yetu Kiasi kwamba sisi kwa sisi tunasalimiana kwa tabu, tupo tumejiinamia, sijui tutaanzia wapi ? Any way ngoja tukajipange.
 
...kwa mara nyingine tena mzee Walioba amelifanyia taifa kazi nzuri sana(rejea lipo ya rushwa aliyoitoa katika utawala wa Mkapa)...
 
Mkuu CHAZA

Nchi kwanza vyama baadae watanzania wengi wanataka serikali tatu hakuna haja ya kuwakatilia.

Kumbe unaweza kuchangia bila kuitaja chadema au dr slaa,safi kijana...
 
Last edited by a moderator:
1994 Nchi moja yenye serikali 2 kuelekea Serikali Moja... 2010 Nchi mbili yenye Serikali Mbili...... 2014 Nchi moja yenye Serikali Tatu Ni mzalendo pekee anayeweza tamka maneno haya na sio mwingine ni Warioba
 
Mzigo ipo ktk hangover watakuwa busy hadi ijumaa....jk aje na umbea ..ndio watapata fahamu za kupiga makelele...
 
Nasikia mliwafanya vibaya sana watu wa CHADEMA, wanaume kwa wanawake, hiyo ndiyo furaha yenu?
 
Back
Top Bottom