Jaji warioba he good in making analysis and making clarification clearlly
Ungezungumza kiswahili ungeeleweka vyema kuliko hii lugha inayofanana na kiingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaji warioba he good in making analysis and making clarification clearlly
Marekani wana serikal 53 na uraia mmoja
Uingereza wana serikali zaidi ya tatu na uraia mmoja
urusi wana serikali nyingi na uraia mmoja.\
Wewe unaishi ulimwengu tulio wote au ulimwengu wako ni CCM tu?
Jamani naomba umnipe updates za asubuh kuhusu uwasilishwaj wa rasimu ya katibu. Vipi warioba ametiliamkazo kweye yap? Plz help me friends.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Haha..na itakuwa kubwa...Hadi CCM wakawa wanakimbia vimemo..aliniua aliposhangaa kuwa pinda haendi kagua miradi ya maendeleo zenj,..na hata JK mwenyewe hawezi kwenda kagua miradi ya maendeleo zenj....Alienda kupiga kiki dah
Sendeka mwehu..mtu kakana hadi masai wakati watu wakijadili mavazi ya ya bunge hili
Mkuu CHAZANashukuru kaka Ritz, tuko pamoja, tumeelewa nini Rasimu imetoa, na kuwa muundo ule uliopendekezwa ni maoni ya wananchi na mfumo wake ukawekwa sawa na tume, na lengo ni kulinda pia Muungano, serikali2 kwa sasa haiko kama zilivyoachwa na waasisi!
Warioba ni mtu makini nakubaliana nae kwenye huu mchakato wa Katiba yetu.
Sasa hawa wazanzibar wanazomea nini?
Mkuu CHAZA
Nchi kwanza vyama baadae watanzania wengi wanataka serikali tatu hakuna haja ya kuwakatilia.