CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
CHADEMA NI MACUMA tu.Mkuu siku nyingine ukilewa usiingie jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA NI MACUMA tu.Mkuu siku nyingine ukilewa usiingie jf
Lile lilikuwa Kongamano la wahuniHotuba yangu kwenye Kongamano la Katiba Day
01/07/2021.
Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa
Watoa Mada wakuu Prof Rwaitama na Askofu Emmanuel Mwamakula.
Wageni waalikwa wote na vijana wenzangu, itifaki imezingatiwa!
Walionitangulia wamezungumza mengi mazuri kwa mstakabali wa mchakato wetu wa Katiba Mpya.
Mimi ninaomba nizungumze jambo moja muhimu ambalo linaukabili mchakato huu tangu ulipoanza Mwaka 2011. Na jambo hilo ni Mitazamo tenge juu ya Katiba Mpya.
Lakini kabla sijaanza kueleza mitazamo hiyo naomba niwaeleze vijana wenzangu, Sisi Vijana tuliopo hapa hatujawahi kuandika Katiba ya Tanzania, Wazazi wetu na pia viongozi wetu mliopo hapa hamjawahi kuandika katiba ya Tanzania, Mababu zetu pia hawakuandika katiba ya Tanganyika wala katiba ya Zanzibar.
Katiba ya mkoloni iliandikwa na watu wachache (6) tu ndani ya ofisi ya Ukoloni Mjini London Uingereza 1919. Ifahamike kuwa huko nyuma kabla ya vita vya kwanza vya dunia alivyoshinda Muingereza, alikuwepo Mjerumani ambae aliitawala Tanganyika kama Kampuni na kuiongoza kama Kampuni la faida kwakutumia MoU badala ya katiba. Ingawa kwa mwaka mmoja wa 1919 nchi yetu iliitwa majina 9. Ambapo, Kwanza iliitwa Smutsland, Pili ikaitwa Eburnea, Tatu ikaitwa Azania, Nne ikaitwa New Maryland, Tano ikaitwa Windsorland, Sita ikaitwa Victoria, Saba ikaitwa Kilimanjaro , Nane ikaitwa Tabora na hatimaye jina la Tisa ikaitwa Tanganyika January 1920.
Katiba ya Tanganyika huru licha ya kuirithi Katiba ile katiba ya kikolini lakini kwa sehemu kubwa ilitokana na msingi wa katiba ya TANU, ambayo nayo msingi wake ni katiba ya chama cha AA iliyoandikwa na raia wa Gold Coast Dr James Emman Kwegyir Aggrey 1927. Chama cha AA rais wake Mwasusu akiwa Mwalimu Cecil Matola.
Lakini pia Mwalimu Julius Nyerere wakati wakiunda chama cha TANU 1954 walilazimika kuazima sehemu ya katiba ya chama cha CCP cha Ghana chini ya Dr Kwame Nkurumah.
Hadi hapo mtaona Katiba ya Tanganyika wala Tanzania haikuwahi kuandikwa na Wananchi bali watu wachache waliandika kwa niaba ya wengi, huu ulikuwa mfumo wa kale ambako dunia leo haiko huko, Leo dunia ni shirikishi na ya kidemokrasia.
Kwa mara ya kwanza 2013 Watanzania tulishiriki kuanza kuandika katiba mpya, na kwa sehemu tu hatua tulishaivuka kwakutoa maoni yakwamba tunataka katiba ya aina gani kupitia Tume ya Jaji Warioba. Maoni yale ndio ushiriki wetu kamili na thabiti kwaajili ya Katiba Mpya.
Dhana tata juu ya Katiba Mpya
Baada ya Maoni na mchakato kuanza wa Katiba Mpya, Ziliibuka dhana tata nyingi sana, zikianzia kwenye kutunga sheria ya mchakato wa Katiba Mpya, Kwenye Kanuni za Bunge la Katiba na mitazamo mingine imeendelea kuwepo hadi leo. Nitaorodhesha kwa uchache kama mifano hai.
1. Katiba Mpya itaiondoa ccm madarakani
2. Katiba Mpya itaisaidia Chadema kwenda Ikulu
3. Katiba Mpya itamuondolea rais Madaraka
Dhana hizi zote tunao wajibu wa kuzifafanua na kuwaelimisha wenzetu wanaojenga dhana hizi potofu.
Dhana kwamba Katiba Mpya itaiondoa ccm Madarakani ni dhana potofu kwakuwa Katiba mpya ni mstakabali wa kitaifa kati ya watawala na watawaliwa, ni mstakabali juu ya wakulima, Ni mstakabali juu ya wafanyakazi, Ni mstakabali juu ya wavuvi nk. Mstakabali huu hauhusu kundi la SIASA tu bali nchi nzima.
Dhana kwamba Katiba Mpya itaisadia Chadema kwenda ikulu, ni dhana mfu, na kama kuna yeyote miongoni mwetu hapa anafikiri hivyo namuombeni afute mawazo hayo, Tukikifikiri katika muono huo kamwe hatutapata katiba ambayo ndio mstakabali wa taifa lote na sio mstakali wa Chadema wala wa ccm tu.
Dhana kwamba Katiba mpya itamuondolea Rais Madaraka, Si kweli, bali Katiba Mpya itapunguza madaraka ya rais ya sasa na kumwekea misingi imara ya kuongoza nchi kama rais kuliko ilivyo sasa anavyoongoza kama mfalme. Katiba ya sasa inasema, Katika kutekeleza madaraka yake, Rais hatasikiliza wala hatashauriwa na mtu yoyote au kikundi chochote,
Katiba mpya itaweka sawa eneo hilo na kutomfanya Rais kuwa Mungu-Mtu.
Ni wajibu wetu vijana nchi nzima bila kujali chama ama itikadi, kuongoza vuguvugu hili kuhakikisha mchakato wa katiba mpya unaanzia kwenye Rasimu ya Jaji Warioba.
Asanteni sana vijana wenzangu!
Na Yericko NyerereView attachment 1837238
Ccm njoooo, mjivunze Mambo ,watapita Kama vile awajaona, 😃Hotuba yangu kwenye Kongamano la Katiba Day

Stress zitawaua mmebakia kutukana njia nzima kama walevi🤣🤣CHADEMA NI MACUMA tu.
Hotuba yangu kwenye Kongamano la Katiba Day

Hivi Tume ya Warioba ilichaguliwa na nani vile?Hotuba yangu kwenye Kongamano la Katiba Day

Na CCM wanakatalia katiba ya zamani ili wapate feverChadema wanataka katiba mpya kwa ajili tu wao wapate fever
Ndio maana wanakazania katiba mpya na tume huru
Hiyo tume inakuwa sio huru kama wao wakishindwa ila kama wakishinda basi ni tume mzuri
Muhimu kwa serikali now ni kuweka mazingira ya kuhoji Watanzania kama wanakubali or not
Im very sure Watanzania wengi hawataki hiyo katiba
Kichaa sio aliyelala juu ya mawe?Waliokupa nafasi ni VICHAA, wewe nae usikilizwe au utoe hotuba? Hiki chama ni chama kweli au genge la walevi. Ile hoja yenu ya akina MDEE vipi?
Itoshe kusema CHADEMA wote mnakatwa na mimi.
Chadema VICHAA, MWENYEKITI MAKENGEZA, SHULE HANA, UCHAGA PARTY, NYUMBU, MNAGEUZW TU KAMA MAFALA HIVI. sasa huyo Yericko si K kama maK WENGINE afu nae anapewa platform. CDM ina mafala wengi sana eti hadi yule BOYA ambale tulimzamisha gunzi kule sero MDUDE nae amepewa nafasi ya kuzungumza. Hahahahahahahaha dah hii nchi tamu kweli. Sasa jaribuni kuandama kama hatujawaf.i.l.a mchana mbuzi anakula majani.Kichaa sio aliyelala juu ya mawe?
Chadema VICHAA, MWENYEKITI MAKENGEZA, SHULE HANA, UCHAGA PARTY, NYUMBU, MNAGEUZW TU KAMA MAFALA HIVI. sasa huyo Yericko si K kama maK WENGINE afu nae anapewa platform. CDM ina mafala wengi sana eti hadi yule BOYA ambale tulimzamisha gunzi kule sero MDUDE nae amepewa nafasi ya kuzungumza. Hahahahahahahaha dah hii nchi tamu kweli. Sasa jaribuni kuandama kama hatujawaf.i.l.a mchana mbuzi anakula majani. ILA MIMI PIA SHOGA NAGEUZWA