Mtagingwembe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 377
- 91
Binafsi sijakusoma unamaanisha kitu gani. Labda pengine umeingia kumwaga wino hapa kabla ya kutumia kichwa chako vizuri kaka. Hata kama unaona hotuba hizo haziendani na nyakati hizi lakini mawazo yaliyomo katika hotuba hizo yanaweza badilishwa na yakaleta mabadiliko kwa nyakati hizi. Sawa kaka?