Mtagingwembe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 377
- 91
Binafsi sijakusoma unamaanisha kitu gani. Labda pengine umeingia kumwaga wino hapa kabla ya kutumia kichwa chako vizuri kaka. Hata kama unaona hotuba hizo haziendani na nyakati hizi lakini mawazo yaliyomo katika hotuba hizo yanaweza badilishwa na yakaleta mabadiliko kwa nyakati hizi. Sawa kaka?
Habari wana Jamii Forums,.
Nimekuwa nikizisikiliza Hotuba mbalimbali za hayati Mwalimu Nyerere ambazo zilipata kurekodiwa katika nyakati tofauti tofauti alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hotuba hizi mara nyingi zinarushwa hewani katika kipindi maalum cha Hotuba za Baba wa Taifa kupitia Tbc Fm.
Hotuba nyingi zilikuwa zikihusiana sana mambo ya Ujamaa katika Taifa letu ambalo kwa sasa dhana hiyo haipo kiuhalisia.
My take: Kuna haja gani ya Hotuba za hayati Mwl. Nyerere kuendelea kurushwa hewani ilhali haziendani na mazingira halisi yaliyopo sasa?
Nawasilisha,..
Yule ni rais wa kwanza lazima history idumishwe ......sasa itafika wakati utaleta mada tuwaache wazazi waliotuzaa kipindi cha ujamaa tuwatafute wa kipindi hiki cha mazingira haya
Basi tusingekuwa tunasoma somo la historia!!
Basi tusingekuwa tunasoma somo la historia!!
Maudhui ya hotuba zake yana faida gani kwa mazingira ya sasa?
Naona mtoa mada bado hajafikiria la kuongea aende akajipange upya maana anapinga kisichopingika.
Kwani hotuba za Mwl Nyerere zimeingizwa kwenye mitaala ya kufundishia mashuleni mkuu?
Tatzo lako nn?tupo wengi tunaihitaji kwako ww umeona bora uwekewe bolingo iliukate mauno mkuu.
Habari wana Jamii Forums,.
Nimekuwa nikizisikiliza Hotuba mbalimbali za hayati Mwalimu Nyerere ambazo zilipata kurekodiwa katika nyakati tofauti tofauti alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hotuba hizi mara nyingi zinarushwa hewani katika kipindi maalum cha Hotuba za Baba wa Taifa kupitia Tbc Fm.
Hotuba nyingi zilikuwa zikihusiana sana mambo ya Ujamaa katika Taifa letu ambalo kwa sasa dhana hiyo haipo kiuhalisia.
My take: Kuna haja gani ya Hotuba za hayati Mwl. Nyerere kuendelea kurushwa hewani ilhali haziendani na mazingira halisi yaliyopo sasa?
Nawasilisha,..
fikirisha ubongo wako vizuri utang'amua maana na umuhimu wa hotuba za mzee huyu,siamini kama una akili ndogo kiasi hiki bado nna imani utaleta mrejesho mzuri