Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
It is true it is the real speech of Mwalimu that he made during May Day in Mbeya waya back in 1995. Listen to the original video. Mukitaka details kaongeeni na waliokuwepo siku hiyo huko Mbeya (Mkuu wa Mkoa Paul Kimiti, Katibu wa OTTU, Bruno Mpangalla)
Nadhani tatizo wengi hapa ni watoto wadogo. Mwaka 1995 walikuwa wengi hawajazaliwa ama walikuwa wakinyonya hivyo hawakuiona hiyo hotuba. Pia tatizo lingine hata kujishughulisha kusoma ama kusikiliza hotuba za zamani hakuna, vijana wengi wamekalia whatsapp na photoshop hivyo wandhani kila kitu ni uongo. Kwenye clip ya mtoa mada ni kwamba kachanganya picha kuonyesha ni alikuwa akimaanisha Mwalimu lakini sauti ni yake bila chenga. Watu wamezoea uozo wa whatsapp hivyo wanadhani kila kitu ni fake.
Last edited by a moderator: