Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

ukiwa unapuuza masharti unayopewa na wataalamu wa kilimo au hujishughulishi kuongeza elimu yako ya kilimo, au ukiwa unazurura tu bila kufanya kazi, ikimtegemea mjomba au shangazi, au Prime Minister wa Tanganyika akufanyie kazi, basi wewe ndugu yangu, si adui wa umasikini.
 
jf ya enzi hizo ilikuwa tamu

Siku hizi utasikia nawahi siti


Wadau nisaidieni, hivi viongozi wa sasa wana uthubutu wa kusikiliza hotuba za Nyerere maana zinachoma kweli mf ile inayohusu serikali legelege isiyokusanya kodi. Naomba kuwasilisha
 
Mwenye DVD ambayo ina collection mbalimbali za mwalimu anisaidie au link..
 
Hapa mbona alikuwa kibabe zaidi, ule uungwana wake aliosema kikwete aliuweka pembeni. malaya walimpanda kichwani
 
Ndo maan Jiwe anaiga kuwaita Mawaziri wake Wapumbavu
 
Hapa mbona alikuwa kibabe zaidi, ule uungwana wake aliosema kikwete aliuweka pembeni. malaya walimpanda kichwani
Muda mwengine watu wanapozidi ubazazi nawe unakurupua uhodari wako ni kawaida mkuu.. naye alikuwa ni binadamu hisia anazo
 



Akimtukana waziri aliyetumbuliwa na kutiwa kizuizini, Abdallah Kassim Hanga, kulia kwa askari polisi, Mnazi Mmoja, Dar-es-Salaam
 
W
We Jamaal una akili sana,rais huwa simuelewi anapoombwa ongezeko la mshahara yeye analeta takwimu za elimu bure
 
Mwalimu nyerere ametabiri Mambo mengi Sana na mengi yametokea vilevile mifano hii hapa.
1.Upinzani wa kweli utatoka ccm
2.Katiba hii itawaletea dikteta
3.Chadema inasera Bora kabisa
4.Wanasiasa malayamalaya
5.Kuuza mashirika ya umma

Hayo ni machache ninayokumbuka ongezea Yale niliyosahau halafu kila utabiri muweke mtu aliyekuja kuutimiza mfano wanasiasa makaya kuhama vyama heche mtatiro no
Viongozi madikteta kwasababu ya udhaifu wa katiba bado hatujawapata ila punde huenda wakawepo.
Ongezea tabiri za mwalimu na waliokuja kuzitimiza !!
 
Hotuba ya Mwalimu Nyerere fupi kuliko zote.


Alipokuwa ni Ndugu Rais Mstaafu, siku moja Mwalimu Nyerere alialikwa kuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya mashindano ya mpira wa vikapu. Timu ya Pazi ilikuwa inacheza na timu gani vile?

Alipoalikwa kutoa hotuba, watu wakajua leo ndio leo, hotuba za Mwalimu Nyerere zilivyo ndefu....

Mwalimu Nyerere akasema maneno mawili tu: "Pazi bingwa."

Na hiyo, mabibi na mababu mabwana, ndiyo hotuba fupi kuliko zote alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…