House of the Dragon Special thread

House of the Dragon Special thread

Dah,safi safi sana

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Hiyo series inatokana na kitabu hiki
Faux_PxXkAcnpoX.jpg
 
kama ni hivo inipitie mbali siwezi kuipenda maana watoto nilionao kila nachotizama na wenyewe wanataka kuangalia. Napenda films za mambele ila mambo ya homosexuals yananikera sana kwa kweli.
Kwa hiyo minyanduano ya ke na me unaweza kuangalia na Watoto???
 
Me mwenyewe nilitaka kusubiria iishe ndo niitazame Ila nimeshindwa[emoji1787]ntaenda nayo hivyohivyo mdogo mdogo mpk kieleweke
Nimemsikitia King alimtoa sadaka mkewe matokeo yake na Mtoto akafa daaah!

#Spoiler [emoji2960][emoji125]
 
Muda huu naitazama.. ngoja nimalize ili nichangie uzi vizuri. Ila tu niseme Uandishi wa hii House of Dragons haujafikia hata robo wa GOT. Ngoja niiendelee kula nyama mtori labda upo chini. Japo S1Ep1 ya GOTilikua na Diologue za moto sana.
 
Nimemsikitia King alimtoa sadaka mkewe matokeo yake na Mtoto akafa daaah!

#Spoiler [emoji2960][emoji125]
Aliambiwa achoose to sacrifice one or to loose them both. Na chance ya kusacrifice one ilikuwa lazima mama afe tuu mtoto apone au wafe wote wawili. King hakuwa na choice ya kumchagua mama so sad.
 
Muda huu naitazama.. ngoja nimalize ili nichangie uzi vizuri. Ila tu niseme Uandishi wa hii House of Dragons haujafikia hata robo wa GOT. Ngoja niiendelee kula nyama mtori labda upo chini. Japo S1Ep1 ya GOTilikua na Diologue za moto sana.
Tuipe muda Mkuu ndo Kwanza episode 1,japo pia s1ep1 ya GOT haikua na tension tayari kama hii
 
Aliambiwa achoose to sacrifice one or to loose them both. Na chance ya kusacrifice one ilikuwa lazima mama afe tuu mtoto apone au wafe wote wawili. King hakuwa na choice ya kumchagua mama so sad.
Ile part ya kumpasua mama halafu watoe mtoto ilikua ngumu Sana asee.
#Spoiler
 
Kwa hiyo minyanduano ya ke na me unaweza kuangalia na Watoto???
siwezi kaana watoto kuangalia series au muvi za aina iyo. Ila kwa ujanja walio nao watoto nilionao wanachukua flash drives zangu nakuta wamekaa wanaangalia aseee what if episode nzima unakuta imejaa munyukano me na ke au me kwa me. Aseee hali sio nzuri kwa sasa. Taratibu naanza poteza ushabiki na muvi au seasons zenye adult content kwa sana hasa mambo ya homosexuals ndo sipendi.
 
Back
Top Bottom