Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
- Thread starter
- #101
Hiyo series inatokana na kitabu hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo series inatokana na kitabu hiki
Wanatupa majaribu sana, wanatupa arosto la nguvu,[emoji3][emoji3][emoji3]ukishakuws nayo,huwezi tena kusubiri...hapa me sina ila mnanitamanisha balaa.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo minyanduano ya ke na me unaweza kuangalia na Watoto???kama ni hivo inipitie mbali siwezi kuipenda maana watoto nilionao kila nachotizama na wenyewe wanataka kuangalia. Napenda films za mambele ila mambo ya homosexuals yananikera sana kwa kweli.
Nimemsikitia King alimtoa sadaka mkewe matokeo yake na Mtoto akafa daaah!Me mwenyewe nilitaka kusubiria iishe ndo niitazame Ila nimeshindwa[emoji1787]ntaenda nayo hivyohivyo mdogo mdogo mpk kieleweke
Aliambiwa achoose to sacrifice one or to loose them both. Na chance ya kusacrifice one ilikuwa lazima mama afe tuu mtoto apone au wafe wote wawili. King hakuwa na choice ya kumchagua mama so sad.Nimemsikitia King alimtoa sadaka mkewe matokeo yake na Mtoto akafa daaah!
#Spoiler [emoji2960][emoji125]
Ile scene ilikua ngumu Sana.Nimemsikitia King alimtoa sadaka mkewe matokeo yake na Mtoto akafa daaah!
#Spoiler [emoji2960][emoji125]
Tuipe muda Mkuu ndo Kwanza episode 1,japo pia s1ep1 ya GOT haikua na tension tayari kama hiiMuda huu naitazama.. ngoja nimalize ili nichangie uzi vizuri. Ila tu niseme Uandishi wa hii House of Dragons haujafikia hata robo wa GOT. Ngoja niiendelee kula nyama mtori labda upo chini. Japo S1Ep1 ya GOTilikua na Diologue za moto sana.
Ile part ya kumpasua mama halafu watoe mtoto ilikua ngumu Sana asee.Aliambiwa achoose to sacrifice one or to loose them both. Na chance ya kusacrifice one ilikuwa lazima mama afe tuu mtoto apone au wafe wote wawili. King hakuwa na choice ya kumchagua mama so sad.
TayariWakuu imetoka au?
Tayari
Link Nimeweka angalia comment ya #40Mkuu nisaidie link
Gawa mazuri nimekosa mkuuLink Nimeweka angalia comment ya #40
The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent siteGawa mazuri nimekosa mkuu
siwezi kaana watoto kuangalia series au muvi za aina iyo. Ila kwa ujanja walio nao watoto nilionao wanachukua flash drives zangu nakuta wamekaa wanaangalia aseee what if episode nzima unakuta imejaa munyukano me na ke au me kwa me. Aseee hali sio nzuri kwa sasa. Taratibu naanza poteza ushabiki na muvi au seasons zenye adult content kwa sana hasa mambo ya homosexuals ndo sipendi.Kwa hiyo minyanduano ya ke na me unaweza kuangalia na Watoto???
The long night[emoji91][emoji91]Aegon foresaw the end of the world of men. It began with a terrible winter befalling the far North... Aegon called this dream The Song of Ice and Fire."
View attachment 2331230
''A heir for a day''[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2331599