Haki ya Mungu amini
Big thanks! Mm mwnyewe mtaalam yan uko thawa kabtha hyu thukar itamuhuthu thiku co nyingi. Kwnza aje nmfanyie vpimo huenda tayar anayo!
Hausi boi hajatumwa ila mama hausi alikuwa anamlembulia ana mvalia khanga moja sasa hausi boi afanyaje?
Fidel acha ushabiki kanga moja shamba???
Jamani kisukari kishindwe kwajina la yesu. Mi nimemind kwanini asilikimbize hilo li hausiboi lake lisije likamfamyia vibaya hata watoto wake.
Ukweli ndo hivyo mama hausi alijisahau mipaka yake na hausi boi ndo maana akaamua kurusha ndoano
Ukweli ndo hivyo mama hausi alijisahau mipaka yake na hausi boi ndo maana akaamua kurusha ndoano
Jamani nyie mbona mnakuwa hivyo fidel kwani lazima ajisahau inawezekana kapenda ngoma kaingia mkenge
Ndo maana alijijengea ukaribu na hausi boi akaamua kurusha ndoano na vile vile inaonyesha alikuwa anambania mpaka pua
Kutongozwa kupo pale pale tu na kutongoza kupo pale pale maana houseboy nae binadamu lakini?? Bosi kitu gani bwana??? Mbona wa maofisini hamuwasemi mnaotembea nao?? sijui secretary, muhasibu msaidizi nk
Bosi ni bosi tu hata awe nani
Yeah mm sioni kibaya hapa kama mama hausi alitongozwa ndo maana nikasema atoe jibu moja ndio au hapana au amwambie nitakufikiria kumpa matumaini aendelee kusubili au sio? Na hao wa maofcn inategemea na ukaribu kama mtu yupo serious huwezi rusha ndoano
Boss lazima uogopwe na uheshimiwe usicheke cheke ovyo na wafanya kazi wako utakuja ombwa na vitu ambavyo hujawahi sikia
Hapo inabidi awe makini umeongea ukweli aisee. Desidii uko wapi utuhabarishe kama ushamtimua huyo houseboy wkao
Kuna mtu mmoja aliwahi kunambia.
Eti mapenzi ni kama jeshini ukiingia unaambiwa degree yako, diploma yako na kila kitu chako ulichokisoma
unakiacha hapa getini hapa nikutii amri tena nitakayokupa hata darasa la kwanza sijakwenda.
Na unatii sasa mapenzi ndo yalivyo ukiingia chumbani kuna cha degree au shambaboy aka houseboy???
Wakati hamna hata nguo moja tuambizane ukweli aisee
Naona huyu Desii kaenda kuazima winchi ya kumng'oa houseboy. Ngoja tusubiri mshindo nyuma!
Hizo certificates na vithungu vya uongo na ukweli vingekuwa vina-apply basi kuna watu kama wale wadada wa Ohio, Jolly na mitaa mingine wangekufa njaa!
Kuna jamaa mmoja alikuwa na PhD akakumbana na dada kutoka Matombo, Morogoro, nasikia alikula hadi pesa ya ofisi wakaishia kuuza nyumba yake! Na dada mwenyewe nasikia hadi form 7 hakumaliza!
Babu eti kama mama hausi kajilegeza kwa hausi boi na akatongoza amevunja kifungu kipi cha katiba?
Unafanya mchezo nini DC hapo hakuna cha degree wala PhD ni ngoma droo mkiwa no nguo kwa mwili Hiyo bluu ndo maana yake
Usitake nikuchane live tulia hivyo hivyo!!!