Houseboy

Houseboy

Status
Not open for further replies.
Amekuona kuwa unakaa kihasarahasara fulani mbele yake...
Kijana kama huyo hawezi kujianzia from nowhere akusemeshe neno kama hilo...
Aidha anajua unapendelea sana mambo ya ngono au kuangalia porno openly na huenda story zako muda wote zinaelekeana kunako maeneo!

Na atakuwa ameshakupigapiga mafinger ukaona raha na ukakaa kimya hivyo akaona huna noma na ikamlazimu aombe full mzigo.......Ila usimpe kwasababu vijana kama hao huwa wanajituma sana mzigoni...unaweza data....
 
Mi nimesema House boy na wala sio mpango wanje,
Au mahouse boy kwako wana kazi mbili mama?

Hii thread umeilewa toka mwanzo nini houseboy kazi yake??

Kazi mbili nayojua mimi ni kulima kuangalia mifugo kuna ya tatu kukata majani nje ya nyuma wewe una nyingine??
 
Hii thread umeilewa toka mwanzo nini houseboy kazi yake??

Kazi mbili nayojua mimi ni kulima kuangalia mifugo kuna ya tatu kukata majani nje ya nyuma wewe una nyingine??

kwakuwa umesema kuwa hutaki house boy kwasababu wewe hauko interested na mpango wa nje ndo maana nikaona niulize hivo?
 
Sina bwana Bacha anataka kuja kuwa houseboy wangu lakini mie sina mifugo wa nini house girl ananitosha

Mi kama una nafasi niajili niwe hausi boi kuna kazi ngumu zile kama kubeba viloba, kukata nyasi, kutengeneza maua, kufua n.k
 
JF habari zenu!!

Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.

Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!

Nimechanganyikiwa sijwamwambia Husband. Najifikiria nimtafutie visa ili aondoke ama nifanyaje maana nikisema aondoke bila sababu husband atauliza sababu nini nini na nitapata kigugumizi.

Nisaidieni tafadhali

Huyo si binadamu kama wengine kwani kutongoza ni kossa, unachotakiwa kufanya ni kuonya na kuwa mkali kama kawa sio kumfuikuza kazi wewe unatakiwa kuonyesha msimamo wako ili yeye ajue wewe ni bosi wake that's it. Kumfukuza ni dalili za kutojiamini muonye akishindwa ndio asepe
 
kwakuwa umesema kuwa hutaki house boy kwasababu wewe hauko interested na mpango wa nje ndo maana nikaona niulize hivo?

House boy wa hapa ni wa kumsaidia mzee wa home. Wewe ulikuwa unataka kuja kukata majani?? sina mashamba mie!!!
 
MMMmmmmmmmhhhh no comment kwa hii post naona kama mmmhhh ngoja niache

Desidii sikiliza ujue mi nimejiuliza inakuje yani, mi houseboy mingine ka imetumwa vile, mpaka maza house anakosa chakufanya aisee.
 
Desidii sikiliza ujue mi nimejiuliza inakuje yani, mi houseboy mingine ka imetumwa vile, mpaka maza house anakosa chakufanya aisee.

Kashapata majibu huyo si unaona haonekani tena kwenye thread yake???
 
Desidii sikiliza ujue mi nimejiuliza inakuje yani, mi houseboy mingine ka imetumwa vile, mpaka maza house anakosa chakufanya aisee.

Hausi boi hajatumwa ila mama hausi alikuwa anamlembulia ana mvalia khanga moja sasa hausi boi afanyaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom