TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Hahahahaaaaaaaa! Wameamua kugonga ikulu! ngoja nikaikague.
Hahahahaha dah hawa akina mama bana kazi kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaaaaa! Wameamua kugonga ikulu! ngoja nikaikague.
JF habari zenu!!
Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.
Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!
Nimechanganyikiwa sijwamwambia Husband. Najifikiria nimtafutie visa ili aondoke ama nifanyaje maana nikisema aondoke bila sababu husband atauliza sababu nini nini na nitapata kigugumizi.
Nisaidieni tafadhali
Kumbe JF ina mambo namna hii??? Sikuwa najua do let me be active sasa ha ha ha Baba Mkweeeeeeeeeeeeeeee. Hivi hana simu??? Hebu mtwangie utoe kilichorohoni mwako mwaya aahhh zama za uwazi na ukweli hizi usiogope
Wewe mama ni Kicheche, nimeona ulivyokuwa unamshauri mwenzio anayemtamani bb mkwe, ampe utamu wake sasa na ww utakuwa umempa houseboy wako sasa amekukataa unajidai kuomba msaada hapa,kudadadeki
Duh! Hommie umepata ajira WikiLeaks?
Katika hali ya kawaida, mama mwenye nyumba kutongozwa na hausiboi unaionaje hiyo? Easy go flani hivi....Wazungu wanasema a liar should have a gud memory........yeye kajisahau kwamba alikuwa anashauri mwenziwe achakachuliwe na bb mkwe
Chonde chonde usimtimue utapata laana kwa Mungu, yawezekana mama umejaaliwa sorry lakini.
Katika hali ya kawaida, mama mwenye nyumba kutongozwa na hausiboi unaionaje hiyo? Easy go flani hivi....
Ni ngumu sana mara nyingi maza house ndio huwa wanawabaka ma-house boy;
Dalilili za maza house kubaka;-
1. Kutega kazini mara kwa mara
2. Kuwahi kurudi kazini gafla(surprise home visit)
3. Kwenda Shambani na house boy na khanga 1
4. Zawadi za tshirt za promo kazini kumpa house boy
5. Kumshawish father house kumwongeza house boy mshahara/malipo ya kazi.

Desidii ameangukia hapo kwenye red. Desidii tuambie kwanini ulienda shamba na hausiboi ukiwa na khanga moja? Mmeo ulimwacha wapi?
Si umeona nimechekaaa na kukaa kimya toka jana nimezungumza nguo niliyovaa ilikuwa jinsi na tisheti mpaka mtu mmoja akasema si unajua zinavyopendeza? Sasa nashangaaa sana hili la kwenda shamba na khanga kwanza utaanzaje???
Hahaha wewe kwani unapendelea nini?
Desi,
Kwani bado hujamtoa nduki huyo dogo aliyemkosea heshima bosi wake? May be twambie kama unajaribu kupata opinion ya pili kutoka kwenye ubongo uliotulia na uvunguni mwa your heart!!
Lakini mkuu sidhani kama dogo kakosea kurusha kete yawezekana mama hausi yupo karibu sana na huyo dogo
Weeeeeee,
Hebu acha utani...Kwa wenye umri kama wangu wanajua kuwa mtu huwezi kumtongoza boss wako. Unakuwa naye karibu na kuombea siku moja aseme mwenyewe. Unakuwa kama fisi anayesubiri mkono udondoke.
Ukimwaga sera akakutolea nje utabaki na kibarua? Ndo maana tunamshangaa Desii kwa kutochukua hatua mara moja. Na wengine wamefikia kuhisi kuwa inawezekana mwangwi wa houseboy umeharibu kabisa akili ya boss wake. Ngoja tumsubiri atueleze anaendeleaje!
Lakini mkuu sidhani kama dogo kakosea kurusha kete yawezekana mama hausi yupo karibu sana na huyo dogo