Houseboy

Houseboy

Status
Not open for further replies.
JF habari zenu!!

Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.

Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!

Nimechanganyikiwa sijwamwambia Husband. Najifikiria nimtafutie visa ili aondoke ama nifanyaje maana nikisema aondoke bila sababu husband atauliza sababu nini nini na nitapata kigugumizi.

Nisaidieni tafadhali
Ama kweli haya ni maajabu, na hili mpaka uuambie ulimwengu ukusaidie, kazi ipo. inaonekana houseboy alikuona uko fragile ndio akaona ana nafasi ya kukutongoza, unatakiwa uonyeshe msimamo wako mapema kwa hawa watu, ukiwachekea ndo inakuwa hayo. mwambie ashike adabu yake, kama anakutaka amwandikie barua mumeo akuache then akaoe!
 
Wewe ni Boss wake ndiyo!
Wewe ni mke wa Boss wake ndiyo!
Wewe ni mwanamke kama mke wake nikipato mumezidiana tu ndiyo!
Wewe ni Binadamu kama wengine ndiyo!
Wewe nini unadhani amekukose??
Wewe umeona House Boy hawezi kuwa na Hisia kama Binadamu wengine??
Mimi ninaona Kunakitu lazima kilichosababisha swala la u Houseboy ondoa katika nyanja ya matamanio au kupenda!
Wewe la msingi nikumwambia usirudie kunitamkia hivi nikitu ambacho siwezi hivyo iwe mara yako yakwanza na ya mwisho!

Sawa huu ndo ushauri naoutaka!! Thanks
 
Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!

We usimfukuze wala usimwambie mtu kutongozwa ni jambo la kawaida

We huna budi kumkubalia au kukataa basi
 
Ama kweli haya ni maajabu, na hili mpaka uuambie ulimwengu ukusaidie, kazi ipo. inaonekana houseboy alikuona uko fragile ndio akaona ana nafasi ya kukutongoza, unatakiwa uonyeshe msimamo wako mapema kwa hawa watu, ukiwachekea ndo inakuwa hayo. mwambie ashike adabu yake, kama anakutaka amwandikie barua mumeo akuache then akaoe!

Hapo kwenye bold sijakuelewa!!!
 
I mean kama yuko seriuos na anajua kuwa anachokifanya ni right basi afaute legal procedures!

Ha ha ha ingekuwa hivyo hakuna ndoa ambayo ingedumu!! Ukitongozwa tu unaachana na mumeo?? Hiyo ngumu!!!
 
Nimepata pointi kubwa mno hapa kuwa hapo kwenye red!!! Big Up!!!

Inaonyesha unapagawishwa sana na mahouse boys,
mimi ni house boy, na hii huduma nimeshatoa sana kwa mother house kibao,
unaonaje hii huduma nikikupatia na wewe?
 
Sijawahi ongea nae kuhusu ngono hata siku moja na wala time nae sina kivile nikitoka usiku nikirudi usiku zaidi ya kuuliza kuku, ng'ombe, mbuzi wanaendelaje sina kingine
,
Dada, pole kwa haya, huyu jamaa anakutamani hajui kumruhusu nikuhatarisha maisha yako, sasa chakufanya kama unaona ningumu kumfukuza utahatarisha maisha ya mifugo yako, mueleze mumeo kuwa ni vema kama mtamtafuta kijana aliye karibu ya familia yenu, pande zote ambaye atasaidiana na huyu jamaa, akishakuja kafahamu nin chakufanya kuhusu mifugo, basi mtoe baro mwambie mumeo cost ya wawili ni kubwa na kwakuwa huyu mgeni kafahamu kazi basi huyu anaetafuta kukufukuzisha njiwa wako, aondoke muage mpe hata kiasi chakuanzia maisha mwambie kila jambo lina mwisho pole kwa yote, ili akiondoka asikutafutie visa huko mtaani ukapoteza maisha au ukapata mtafaruku wa aina yoyote.
 
Inaonyesha unapagawishwa sana na mahouse boys,
mimi ni house boy, na hii huduma nimeshatoa sana kwa mother house kibao,
unaonaje hii huduma nikikupatia na wewe?

Heee jamani mie sitaki mother house kama ushawapa huduma kwangu no bro
 
,
Dada, pole kwa haya, huyu jamaa anakutamani hajui kumruhusu nikuhatarisha maisha yako, sasa chakufanya kama unaona ningumu kumfukuza utahatarisha maisha ya mifugo yako, mueleze mumeo kuwa ni vema kama mtamtafuta kijana aliye karibu ya familia yenu, pande zote ambaye atasaidiana na huyu jamaa, akishakuja kafahamu nin chakufanya kuhusu mifugo, basi mtoe baro mwambie mumeo cost ya wawili ni kubwa na kwakuwa huyu mgeni kafahamu kazi basi huyu anaetafuta kukufukuzisha njiwa wako, aondoke muage mpe hata kiasi chakuanzia maisha mwambie kila jambo lina mwisho pole kwa yote, ili akiondoka asikutafutie visa huko mtaani ukapoteza maisha au ukapata mtafaruku wa aina yoyote.

Hapo kwenye red mbinu nzuri sana!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom