Houseboy

Houseboy

Status
Not open for further replies.
Mkuu unakumbuka hii sredi? Jana nilicheka hadi sina mbavu kabisa! dah

ha ha ha, dah! lazima tuweke kinga kamanda. hawa memba wengine hasa hawa mamanzi, ukiwaPM tu wanajenga uadui halaf wanakuripoti .
 
bwa ha ha ha ha haaaaaaa!!!!!

No wonder umetunga kistory kuwa house boy kakutongoza wakati unajua kabisa kakulamba; unatafuta justification ya wewe kulambwa na house boy wako.

Nimepta PM nishagundua janja ya nyani kula hindi bichiiiiiiiiiiiii!!!!! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Im out of this Ama. Thanks for the PM Mkuu!!!!
 
bwa ha ha ha ha haaaaaaa!!!!!

No wonder umetunga kistory kuwa house boy kakutongoza wakati unajua kabisa kakulamba; unatafuta justification ya wewe kulambwa na house boy wako.

Hahahahahahahaha we Ama mbona mchokozi hivyo!!!! LOL!
 
Yaani mie hata mpango nae sina mume wangu mbona yuko poa sana na tunapendana mno siwezi kumtenda kwa ajili ya houseboy

HB maumbile yake yakoje?
Macho...
Midomo...
Pua...
Mashavu...
Kidevu...
.........
.........
Akicheka ankuaje?
 
HB maumbile yake yakoje?
Macho...
Midomo...
Pua...
Mashavu...
Kidevu...
.........
.........
Akicheka ankuaje?

Maalimu hapa mtihani nimepata ziro kabisa tena negative siyajui hayo yote mwenzio maana sijamkagua!!!!
 
mmmh kwa mtaji huo house boy marufuku kwangu....:wave:
 
Natilia shaka pia uanamke wako!

Hapa umeshikwa pabaya, jaribu wakati mwingine.

Dawa yako hii hapa :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Dawa yako hii hapa :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:

Afadhali. Funga domo lako na uchague cha kuandika JF sio viuongo eto 'house bot kanitongoza'. Hapa sio kila upupu unakuwa entertained, ukirudia tena unakomwa giladi mchana kweupe kama hivi.
 
Afadhali. Funga domo lako na uchague cha kuandika JF sio viuongo eto 'house bot kanitongoza'. Hapa sio kila upupu unakuwa entertained, ukirudia tena unakomwa giladi mchana kweupe kama hivi.

PM imenisaidia kutambua ujinga wako na takataka zako **** wewe!!!!! Kafie mbele huko hata haya huna????? Popote ulipo nitakutafuta we ngoja!!!! Vijitu vingine sijui vinatokea wapi mwenzi yairabi tobaaa mie aaahhh hebu nilale mie!!!
 
Ukicheka na nyani atakufata hadi chooni.
Pale pale wakati anakutongoza ungempa mapande yake.
Hatujui ulimjibu nini. Au ulikuwa unang'ata vidole halafu mguu unachimba chini na mkono mmoja unachezea majani!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom