Desidii
JF-Expert Member
- Oct 2, 2007
- 1,201
- 86
- Thread starter
- #141
Desidii, habari ya toka 2007! heshima kwako,
sasa mimi nisemee upande mwingine
Houseboy ni nani hasa? si mwanaume kama wengine, zaidi ni binadamu, ana hisia zake kama binadamu wengine pia....kwa hiyo kwanza tusimchukulie kwa namna ya mtu wa chini
Ni jambo la kawaida kwamba kwa malezi na hisia zake, anaweza kumtamani bosi wake hii si ajabu...ni juu ya bosi kupima mwenyewe na kufanya uamuzi ambao utakuwa na manufaa kwa pande zote mbili....
Mkuu heshima imefika!! Nashukuru!!! NAchoshangaa mie ni hapa kuandika kuwa House boy?? Ama kitu gani??