Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,721
- 515
Ukweli ni kwamba kwa namna moja au nyingine unahusika (labda alioverhead mazungumzo yako au tabia ndizo sizo kama mavazi mbele yake au kauli) kwa asilimia nyingi tu kwa huyo house boy wako kukutaka, ni vigumu sana kwa houseboy kuanza tu lazima kuna signs. Pili hata wewe mwenyewe una dalili zote za kutaka houseboy wako akushughurikie, moja kwa kutomkatalia kauli yake outlight na kwa onyo kali sana. Pili ni kutomwambia husband labda kwa sababu unajifahamu mwenyewe tabia zako na huenda ukimweleza lazima itakula kwako. I am just trying to think aloud umefikaje hapo.
Labda ukiweza nitoa dukuduku kwa matazamo wangu nitaweza kukusaidia kimawazo vinginevyo napata shida sana na jinsi ulivyo lichukulia swala zima.
i
Labda ukiweza nitoa dukuduku kwa matazamo wangu nitaweza kukusaidia kimawazo vinginevyo napata shida sana na jinsi ulivyo lichukulia swala zima.
i