Houseboy

Houseboy

Status
Not open for further replies.
Ukweli ni kwamba kwa namna moja au nyingine unahusika (labda alioverhead mazungumzo yako au tabia ndizo sizo kama mavazi mbele yake au kauli) kwa asilimia nyingi tu kwa huyo house boy wako kukutaka, ni vigumu sana kwa houseboy kuanza tu lazima kuna signs. Pili hata wewe mwenyewe una dalili zote za kutaka houseboy wako akushughurikie, moja kwa kutomkatalia kauli yake outlight na kwa onyo kali sana. Pili ni kutomwambia husband labda kwa sababu unajifahamu mwenyewe tabia zako na huenda ukimweleza lazima itakula kwako. I am just trying to think aloud umefikaje hapo.

Labda ukiweza nitoa dukuduku kwa matazamo wangu nitaweza kukusaidia kimawazo vinginevyo napata shida sana na jinsi ulivyo lichukulia swala zima.
i
 
Hamna kitu kipya hapo.

Kwani alivyokutamkia ulimjibuje? ulimuonya au kufurahia?
Inawezekana mna mazoea mabaya au ana fahamu mambo yenu ya ndani ndiyo maana kakutongoza.
Haiwezekani msiwe na mazoea na akapata moyo wa kukuambia jambo kama hilo. shtuka darisii
 
wewe Desidíi wewe si useme tu umeshalambwa na houseboy wako sasa nafsi inakusuta unatafuta faraja?
 
mmmhhh unajua kipinde kile niko mdogo..
kitambi kilikuwa utajiri
nini kimebadilia sasa???

Mitazamo ya watu imebadilika bibie.....baada ya wengi kijikuta wakiambulia vipipi chini ya hivi vitambi na kufiwa vfuani......maana hivi vitambi presh nje nje
 
Yaani mie hata mpango nae sina mume wangu mbona yuko poa sana na tunapendana mno siwezi kumtenda kwa ajili ya houseboy
Kwani unampa kazi gani? Kama ni zile kazi za nguvu....kubeba vitu vizito, kusukuma mkwama, kubeba zege, six packs atakuwa nazo automatically. Hakikisha na mzee naye anamatch nazo maana ukirogwa uonje, hutakaa kuacha. Atakuzungusha kuliko Ronaldhino akiwa uwanjani na uta data. Hawa wajamaa wengine hawajajaaliwa kuendesha magari lakini yale mambo mengine huwa hawapangi foleni kwa maprofessor wetu kutoka Sumbawanga. They are fit trust me.
 
Kazi za kawaida tu ndugu yangu!!1
 
Nimerudi nilienda kupata valeu chupa ndogo na kurudi maana comments za mchana zilinikimbiza. Sasa niko na Red bull full kukamilika. AD Im back!!!!
 
wewe Desidíi wewe si useme tu umeshalambwa na houseboy wako sasa nafsi inakusuta unatafuta faraja?

Mie sijampa bwana wewe vipi nakwambia huelewi na next wiki ya wiki ijayo anatimkia kwa mbali mbona unanichakachua mshikaji????
 
Ukweli ni kwamba kwa namna moja au nyingine unahusika (labda alioverhead mazungumzo yako au tabia ndizo sizo kama mavazi mbele yake au kauli) kwa asilimia nyingi tu kwa huyo house boy wako kukutaka, ni vigumu sana kwa houseboy kuanza tu lazima kuna signs. Pili hata wewe mwenyewe una dalili zote za kutaka houseboy wako akushughurikie, moja kwa kutomkatalia kauli yake outlight na kwa onyo kali sana. Pili ni kutomwambia husband labda kwa sababu unajifahamu mwenyewe tabia zako na huenda ukimweleza lazima itakula kwako. I am just trying to think aloud umefikaje hapo.

Labda ukiweza nitoa dukuduku kwa matazamo wangu nitaweza kukusaidia kimawazo vinginevyo napata shida sana na jinsi ulivyo lichukulia swala zima.
i

Wewe sitakujibu nanyamaza kimya maana naona umekwenda kusiko. Usiku mwema
 
Desidii wewe ni attention seeker. Hii habari umetunga ukakimbilia kupost baada ya kuona mwenzio katoa ya kumtamani baba mkwe.

Haya umeshajuliknaa kuwa na wewe umo.
 
Haya umeshajulika kuwa na wewe umo.

Ehhh??? Inahuuuu???Jisome kwanza wewe wa lini na mimi wa lini sawa halafu uje na majibu??? Kujulikana JF unajua jina langu wewe ebu kwenda kule!! Kafie mbele
 
Desidii wewe ni attention seeker. Hii habari umetunga ukakimbilia kupost baada ya kuona mwenzio katoa ya kumtamani baba mkwe.

Haya umeshajuliknaa kuwa na wewe umo.

Kama una usingizi lala acha kupost ujinga na upumbavu wako!!!! Kujulikana?? What does it mean for me????
 
Ehhh??? Inahuuuu???Jisome kwanza wewe wa lini na mimi wa lini sawa halafu uje na majibu??? Kujulikana JF unajua jina langu wewe ebu kwenda kule!! Kafie mbele

Wewe ni wazamani ndio maana unatafuta attention kwa kutnga vistory kuonyesha kuwa umo.

Halafu tarehe za kujiunga zisikushaue sana, re-registration is not illegal in JF.

Acha mchezo huo.
 
Kama una usingizi lala acha kupost ujinga na upumbavu wako!!!! Kujulikana?? What does it mean for me????

Kama wewe ni wa zamani unajua fika hapa we dare to talk openly, we call a spade a spade not a big spoon, nyani akakomwa giladi mchana kweupe.

ACHA KUTAFUTA ATTENTION KWENYE MITANDAO. KISTORY CHAKO ULIVYOTONGOZWA NA HOUSE BOY NI CHA KUTUNGA.
 
House boys na yale wanayoyafanya...wengine wanazisitiri nyumba za watu lakini
 
Mie sijampa bwana wewe vipi nakwambia huelewi na next wiki ya wiki ijayo anatimkia kwa mbali mbona unanichakachua mshikaji????

Desidii, habari ya toka 2007! heshima kwako,

sasa mimi nisemee upande mwingine

Houseboy ni nani hasa? si mwanaume kama wengine, zaidi ni binadamu, ana hisia zake kama binadamu wengine pia....kwa hiyo kwanza tusimchukulie kwa namna ya mtu wa chini

Ni jambo la kawaida kwamba kwa malezi na hisia zake, anaweza kumtamani bosi wake hii si ajabu...ni juu ya bosi kupima mwenyewe na kufanya uamuzi ambao utakuwa na manufaa kwa pande zote mbili....
 
Kama wewe ni wa zamani unajua fika hapa we dare to talk openly, we call a spade a spade not a big spoon, nyani akakomwa giladi mchana kweupe.

ACHA KUTAFUTA ATTENTION KWENYE MITANDAO. KISTORY CHAKO ULIVYOTONGOZWA NA HOUSE BOY NI CHA KUTUNGA.

Attention kwako wewe **** tu!!! Hovyooooooo ngoja nikuache punguani wewe!! Huna jipya la kuniambia
 
Haya mama natulia kidogo lakini lazima tusema bana... hii haijakaaa sawa hata kidogo!!
Hata mimi imenichefua, yaani kama ni mimi akija kuniambia na imepita siku basi kwanza ni kichapo halafu ndo mambo mengine yafuate. Yaani anatoa muda wa kufikiria ombi ana entertain?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom