Desidii
JF-Expert Member
- Oct 2, 2007
- 1,201
- 86
- Thread starter
- #181
Ukicheka na nyani atakufata hadi chooni.
Pale pale wakati anakutongoza ungempa mapande yake.
Hatujui ulimjibu nini. Au ulikuwa unang'ata vidole halafu mguu unachimba chini na mkono mmoja unachezea majani!!
Ha ha ha ha enzi za mwalimu hizo duuhhh hivi bado inaaply??? Mie mama mtu mzima mitoto minne bado nang'ata vidole???