Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo jibu ni moja tu nishalichukua tayari
Kwenye red nimesoma katikati ya msitari
Lazima kuwe na sababu....inawezekana unamtega sana akashindwa kujizuia.....pengine maumbile yako yana utata na kuna viashiria vya kuweza kutoa mzigo ndio maana kama rijali amejaribu bahati yake.....kama ni kweli mzee hakutoshelezi na una hisia na huyo jamaa ,nafikiri mpe tu mashine lakini iwe siri yenu
Ha ha ha ingekuwa hivyo hakuna ndoa ambayo ingedumu!! Ukitongozwa tu unaachana na mumeo?? Hiyo ngumu!!!
Nafikiri huu ni mwaka mbaya kwako,nakushauri ukakoke maji ya baharini ili kufifisha nyota yako ya kutongozwa,kwa sababu nyota yako ya kutongozwa inang'aa sana.Usipoangalia mwaka huu utatongozwa sana,hadi na watoto wa kiume ambao wana umli kama watoto wako.Ili kupukana na mwaka wa kutongozwa fuata ushauri wangu!!
Good, then dont put yourself into contradictions, haya mazingira inawezekana uliyaandaa mwenyewe (huenda bila kujua), na for that case hukuandaa mazingira ya kupambana nayo!, ila what is required is precautions, kila mmoja anatakiwa ajue mipaka ya mwenzake na aiheshimu. cha msingi ni kumwambia awe na adabu, weye ni mke wa mtu ati, kama hoja ni mwanamke si akaoe kwengine?
Mmmhhh kuepuka basi labda nisiongee na watu!!!
Kwa sababu amini amini nawaambieni: Hausiboi akimtongoza mama anakuwa na uhakika wa kukubaliwa! Otherwise hawezi kuirisk kazi yake kwa jaribio la hatari namna hii.
Hommie leo huna hangover? :flypig:Baba akimtongoza hausigeli ni tamaa na ulafi wa kawaida wa wanaume
Mama akitongozwa na hausiboi ni mwonekano wake na anavyojirahisisha.
Kwa sababu amini amini nawaambieni: Hausiboi akimtongoza mama anakuwa na uhakika wa kukubaliwa! Otherwise hawezi kuirisk kazi yake kwa jaribio la hatari namna hii.
Desidii, jitoe katika mwonekano wa kirahisirahisi, na uwe katika mwonekano wa mama kwa maana ya mama mwenye mamlaka. Akikutongoza tena, uje uniambie nikupe bastola yangu niliyoiiba kule Rwanda.
Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwahabarisheni ukweli huu.
Okoa ndoa yako kwa kumwambia mumeo au ipoteze siku utakayobakwa huko shamba na huyo hboy na mumeo akastukia...!!:embarassed2:JF habari zenu!!
Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.
Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!
Nimechanganyikiwa sijwamwambia Husband. Najifikiria nimtafutie visa ili aondoke ama nifanyaje maana nikisema aondoke bila sababu husband atauliza sababu nini nini na nitapata kigugumizi.
Nisaidieni tafadhali
Hommie leo huna hangover? :flypig:
Eti hommie, huyu hausiboi angemmega huyu mama, angerusha sredi hapa?
[/COLOR]
Ana mke lakini yko kijijini kule kwetuuuuuuuuuu kwa senene kibao
Naona house boy hana mvuto ndo maana ameamua kurusha
Mpwa kuna sredi huko inauliza kwa nini walevi wengi wanabahatika kupata watoto wa kike?