Houseboy

Status
Not open for further replies.
Halafu unajua nini AD, ogopa hao wadada waliomaliza Kidato cha 7! Ni wakali kuliko unavyoweza kuamini. Nawafahamu washikaji ambao wamepelekeshwa hadi hawana hamu!

Mhhh, naona hapo Engineer Mkuu (Mungu) alifanya mazingaombwe ya kutisha!

Houseboy ana qualification zote za kuingia 6 x 6 na maza hausi
 
it is simple if you know your stand,, whether kumpa au kumnyima
it is very complicated if you dont know what you want...

my advice is dont do it, kama amefikia kukutamkia, then he probably has made a fwe consultations as well, just like are doing right here.... and naturally when we consult for those things, we usually give feedback

tell you husband that kakuomba au mpe... but rest assured, for him to have courage, someone must have boosted his morale, and no secret whatsoever
 
Kweni kuna matatizo gani ukimwambia Hubby kama kijana anakosa heshima na itakuwa ni busara akiwa hayupo kazini.
 
Yaani mie hata mpango nae sina mume wangu mbona yuko poa sana na tunapendana mno siwezi kumtenda kwa ajili ya houseboy

Fukuza huyu shetani atakuvunjia nyumba yako. Maana Biblia inasema mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Usiendekeze ujinga utakuja kujuta hapo baadae. Kumbuka wewe na mmeo mnajenga family sio wewe uibomoe.Methali:7:4. Mthl: 14:1.
 
Kweni kuna matatizo gani ukimwambia Hubby kama kijana anakosa heshima na itakuwa ni busara akiwa hayupo kazini.

Kama ikitokea hivyo usithubutu kumwambia

Zaidi unajishushia hadhi atabaki na swali moyoni angempa angekuja kuniambia? Je wangapi wanakutongoza humwambii?
 
Houseboy ana qualification zote za kuingia 6 x 6 na maza hausi

Sawa lakini taratibu za kazi haziruhusu kum-provoke boss ingawa kinyume chake ni poa. Huyu h/boy alitakiwa kusubiri hadi bahati imdondokee. Kwa kukosa uvumilivu amevunja taratibu za kazi...Adhabu kali ikiwepo kufutwa kazi ni halali yake!
 
Huyu boss lazima alitengeneza mazingira hausi boi arushe kete

Huwezi kutumia utetezi mwembamba kama huo kumvunjia heshima boss wako...Kijana bado anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na wenzake wenye tabia hizo. Boss anasubiriwa hata ikibidi kumsubiria hadi masiha arudi!
 

Kweli mkuu...wengi wetu tumejiuliza sana swali kama hilo..Huyo h/boy katoa wapi jeuri ya kumwaga sera kwa boss wake? Inawezekana walimu wake ni wakali sana.

Ila sasa anatakiwa kuvuna alichopanda..Ama kupewa alichoomba au kulipa gharama za uamuzi wake. Kumwacha endelee kukenua meno ni kosa la jinai!
 
Nimerudi.

Maushauri yenu mazuri na mabaya yote mwake tu nimeyapokea.

Walionikasirikia wakaniita kicheche poa, malaya poa vyovyote vile ilimradi mie najijua nilivyo sipo kama mnavyofikiria. Hata hivyo nawashukuru kwa maushauri yenu.

Nitafanya vile navyoamini inafaaa kama kumpa shega kama kukataaa shega vile vile.

Samahani kwa kuwakwaza walio wengi hasa kwa waliochangia jana walikuwa na jazba nyingi sana mnisamehe sio nia yangu.

Thread officially closed. :closed_2:

Thanks
 
Another rubbish from great Tinkers. Khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 

Tafsiri naweza kupata bosi??/
 

Kapate kwanza valuer, hivi hivi hueleweki.

Ole wako ujibu.
 
Umeamka Mpenzi??? Haya tuendelee lakini Thread officialy CLOSED

Uliyelambwa na houseboy, la hasha. Viungo vyangu ni vitakatifu.

Vipi leo tena umeopen your big mouth, jana uliambiwa shut up ukashut. Hata houseboy akikuambia zip it, you do.
 
Uliyelambwa na houseboy, la hasha. Viungo vyangu ni vitakatifu.

Vipi leo tena umeopen your big mouth, jana uliambiwa shut up ukashut. Hata houseboy akikuambia zip it, you do.

Houseboy si mwanaume kama wewe??? Mwanaume suruali zipu wazi 24hrs???? Ushanikasirisha ngoja niende zangu kulee kwa wakubwa naona wewe kimeo
 
Kwanini usijaribu kama mambo iko sawasawa badala ya kufukuza potential problem solver?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…