Houseboy

Houseboy

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo wewe yeyote unampa mradi awe mwanaume na zipu yake iko wazi 24hrs!?

**** ni **** tu hata umweleze nini haelewi. Hebu nenda through thread na post za DC, Fidel na DENA utapata majibu naona unanizingua tu wenzio wanalala wewe ndo unaamka kwa heri. Thread CLOSEED!!!!!!!!!!!!!
 
Bwa ha ha ha ha haaaaaa!!!!!

Anayekuzingua houseboy........ kwa heri ila umpe tu haose boy naye ni mtu kama unavyowapa wanaume wengine ambao zipu zao zipo wazi 24 hrs unawapa.
 
Pumba!!! K**** kazi ya kut****** shida iko wapi naona unataka nitukane sasa!! **** kweli wewe!!! Mijitu mingine sijui inatokaga wapi Mungu wangu!!!! Mungu msamehe hajui alitendalo!!!
 
...hodi, kwani kuna nini hapa mbona ***censored*** words nyingi?
 
Pumba!!! K**** kazi ya kut****** shida iko wapi naona unataka nitukane sasa!! **** kweli wewe!!! Mijitu mingine sijui inatokaga wapi Mungu wangu!!!! Mungu msamehe hajui alitendalo!!!

Jiombee msamaha mwenyewe, kwa matatu. Usijidai dai kuombea msamaha wenzio.

Kwanza kulambwa na houseboy kama alivyosema Ama kwani namuunga mkono na mguu, pili kusema uongo kwamba umetongonzwa wakati ukweli ni kwamba umelambwa, tatu kwa kutukana.

Ukiachia mbali house boy na huyo ulomshika masikio, idadi ya waliokulamba inaweza kuwa zaidi ya ngapi vile.... just curious.

You are rubish.
 
kelele zote hizo halaf pengine anatumia kompyuta ya jirani tu. heheheeh behind every keyboard there is a mystery hiding by klorokwini 2011

U made my day!

Na kapewa dk 20
 
Jiombee msamaha mwenyewe, kwa matatu. Usijidai dai kuombea msamaha wenzio.

Kwanza kulambwa na houseboy kama alivyosema Ama kwani namuunga mkono na mguu, pili kusema uongo kwamba umetongonzwa wakati ukweli ni kwamba umelambwa, tatu kwa kutukana.

Ukiachia mbali house boy na huyo ulomshika masikio, idadi ya waliokulamba inaweza kuwa zaidi ya ngapi vile.... just curious.

You are rubish.

Wale wale Thread CLOSED!!!
 
Umeniibia swali? Nilitaka kuuliza hivyo hivyo!!

Hope Desii keshamfukuza Houseboy wake au amekubali yaishe!

DC nimeshaleta mwingine huyu anangoja nauli ya kumrudisha home. Nimefata ushauri wenu Asanteni
 
Hivi hatima ya huyu hausiboi bado haijajulikana?
 
DC nimeshaleta mwingine huyu anangoja nauli ya kumrudisha home. Nimefata ushauri wenu Asanteni

Siku nyingine unatakiwa kuchukua hatua chapu chapu kuepuka mkanganyiko. Si umeona hata babu alitaka kukwazika kwamba labda ulikuwa una-explore kwamba itakuwaje ukimpa huyo mzee wa kazi?

If not interested, waste no time, ok? Vinginevyo unazua maswali mengi zaidi.

Kila la heri mjukuu wangu. Natumai huyo anayekuja atakuwa na heshima kwa boss!
 
Babu noted. Si anayekuja kashaanza kazi toka jana!!! Anaonyesha ni mtiifu kwa sura tabia bado sijamjua
 
Hebu soma hapo juu kwanza halafu ndo uulize swali lako maana naona unachanganya mada.

Nisome hapo juu wapi? Nataka nijue huyu hausiboi aliyejaribu bahati yake kwa mama mwenye nyumba hatima yake imekuwa nini? Baba mwenye nyumba kahusishwa? Amepokeaje habari hizo? Kijana bado ana meno yote 32?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom