Sema na moyo wako kaka hao HG ndio mambo zao kujifanya wazuri sana kwa ma boss wao na wewe unakua hushindi nyumbani sasa kukuzuga akili yako ni rahisi sana umuone mzuri,as long as ni mfanya kazi wako basi abakie hivyo,utamuumiza sana mkeo na sio vizuri wewe ni Baba na iko siku utapata mkwe jee mwanao akaifanyiwa hayo unayoyafikiria kumfanyia mkeo utafurahia?
shetani wako mweusi
Ndugu yangu kama ndoa ina matatizo just solve it, but don't run away from it.....hebu piga picha mke wako anakukuta upo na house girl itakuwaje? acha kutafuta moto usiozimika, ushinde ubaya kwa wema....achana na house girl, vinginevyo kama imani yako inaruhusu kuoa wake zaidi ya mmoja sawa
Labda Nikuulize Wewe Mayele!
Nia Yako Ni Nini Mpaka Umeleta Matatizo Yako Hapa...Ili Tukupe Mbinu Za Kumpakua HG?
Maana Naona Unachezea vichwa Vya Watu,Hoja Zako Si Za Kukubali Ushauri Asilani!!
Mimi nimesomea MMU University faculty........sina haja yakukwambia yote wewe umeisha likoroga linywe mwenyewe!!Ulisoma chuo gani maana hujui analysis?
Wanaume mnapenda ubwanyenye.....kama housemaid yupo kwanini yeye afanye yote hayo. Na kwanini kila mmoja asijihudumie mwenyewe ikilazimu. Wataka shoeshine na kupigiwa pasi umesahau mama huyo huyo naye ni mtumishi akirudi amechoka na bado usiku unataka huduma ?
Uzuri wa housemaid haikupi kibali cha kumover take huyo mama.
You are something else; LOL
Ulimiss nini exactly? Kicheko changu, caresses au?
View attachment 71079
Ilitakiwa iwe hivi sasa yeye kwake ni msamiati!!
jf kuna rahaaaaaaaaaaa sana kupita maelezo, kama mambo yenyewe ndio hivyo wee badilisha chumba tuu!
Ungeleta ushauri wako hapa. Mimi napima ushauri sio kupokea kila kitu. Nishauri halafu nami nitakusikiliza. Wapo walionishauri vizuri kwamba nizidi kumpendeza HG ili mke wangu aumie na ataweza kubadilika. Hao nimewaunga mkono. Wengine wameshauri hata niwe nasafiri na HG ili mke wangu alinde nyumba, nao nawaunga mkono asilimia 100. Wewe ushauri wako ni upi mwenzangu?
sawa ya kuchora ila ina resemble!!siyo vitu vyote ni halisia vingine ni vya kufikirika!Hii ni picha ya kuchora tu na sio uhalisia wenyewe. Hata hivyo, huenda jamaa alilishwa limbwata hapa.
Dah mimi nimenyanyua mikono kwani mda niliokutengea kwa ushauri naona tayari umekwisha labda kama kutakuwepo bonus ntajitahidi ila inaonekana Wiyelele umedhamiria kichwani na vitendo kubadlika kwako nivigumu kama thread ina quotes 234 bado umeshikilia HG je huyo HG kakupa jicho nini???twambie siri ya urembo maana usije kuwa kama kipofu aliona siku moja kufumbua akaona tembo na kwa bahati mbaya hakuona tena kila kitu kwake ikawa "Tembo bwana ni mkubwa sijawaikuona kitu kama Tembo"Mi nikufukuzia mbali coz HG hadi jana ameonesha naweza kusihi nae vizuri bila matatizo. Yawezekana wasomi wanashida kweli. Nahisi wanawake yafaa wawe na elimu kiasi tu cha kuwawezesha kusoma sms tu
Achana Na HG!!
Kuyakabili Mapungufu Ya Mwenzako Ndio kujiongezea Heshima!
...Pamoja Na Udhaifu Alio Kuwa Nao, Mwenzio Najuta Kwa Kutokuwa Shujaa Kumpigania My X Ninayempenda Mpaka Sasa,Nikamuacha Bila Kupigania Ninachokipenda Mpaka Mwisho!!
Pigania Ukipendacho(Kwa Wema Lakini),Mwisho Wa Siku Wewe Utabaki Mtu Bora Kwake
Ungeleta ushauri wako hapa. Mimi napima ushauri sio kupokea kila kitu. Nishauri halafu nami nitakusikiliza. Wapo walionishauri vizuri kwamba nizidi kumpendeza HG ili mke wangu aumie na ataweza kubadilika. Hao nimewaunga mkono. Wengine wameshauri hata niwe nasafiri na HG ili mke wangu alinde nyumba, nao nawaunga mkono asilimia 100. Wewe ushauri wako ni upi mwenzangu?
Dah mimi nimenyanyua mikono kwani mda niliokutengea kwa ushauri naona tayari umekwisha labda kama kutakuwepo bonus ntajitahidi ila inaonekana Wiyelele umedhamiria kichwani na vitendo kubadlika kwako nivigumu kama thread ina quotes 234 bado umeshikilia HG je huyo HG kakupa jicho nini???twambie siri ya urembo maana usije kuwa kama kipofu aliona siku moja kufumbua akaona tembo na kwa bahati mbaya hakuona tena kila kitu kwake ikawa "Tembo bwana ni mkubwa sijawaikuona kitu kama Tembo"
Hii ni picha ya kuchora tu na sio uhalisia wenyewe. Hata hivyo, huenda jamaa alilishwa limbwata hapa.