Wiyelelee
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 1,071
- 348
- Thread starter
- #221
Sema na moyo wako kaka hao HG ndio mambo zao kujifanya wazuri sana kwa ma boss wao na wewe unakua hushindi nyumbani sasa kukuzuga akili yako ni rahisi sana umuone mzuri,as long as ni mfanya kazi wako basi abakie hivyo,utamuumiza sana mkeo na sio vizuri wewe ni Baba na iko siku utapata mkwe jee mwanao akaifanyiwa hayo unayoyafikiria kumfanyia mkeo utafurahia?
You have to look at the present situation first na sio kutazama yajayo wakati yasasa yanashindikana.Mi nataka nitatue tatizo nililonalo kwanza.
