Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Sema na moyo wako kaka hao HG ndio mambo zao kujifanya wazuri sana kwa ma boss wao na wewe unakua hushindi nyumbani sasa kukuzuga akili yako ni rahisi sana umuone mzuri,as long as ni mfanya kazi wako basi abakie hivyo,utamuumiza sana mkeo na sio vizuri wewe ni Baba na iko siku utapata mkwe jee mwanao akaifanyiwa hayo unayoyafikiria kumfanyia mkeo utafurahia?

You have to look at the present situation first na sio kutazama yajayo wakati yasasa yanashindikana.Mi nataka nitatue tatizo nililonalo kwanza.
 
Ndugu yangu kama ndoa ina matatizo just solve it, but don't run away from it.....hebu piga picha mke wako anakukuta upo na house girl itakuwaje? acha kutafuta moto usiozimika, ushinde ubaya kwa wema....achana na house girl, vinginevyo kama imani yako inaruhusu kuoa wake zaidi ya mmoja sawa

Anyway, nikishindwa nitamhamisha HG na niwe na nyumba ndogo.
 
Labda Nikuulize Wewe Mayele!
Nia Yako Ni Nini Mpaka Umeleta Matatizo Yako Hapa...Ili Tukupe Mbinu Za Kumpakua HG?
Maana Naona Unachezea vichwa Vya Watu,Hoja Zako Si Za Kukubali Ushauri Asilani!!
 
Ungeleta ushauri wako hapa. Mimi napima ushauri sio kupokea kila kitu. Nishauri halafu nami nitakusikiliza. Wapo walionishauri vizuri kwamba nizidi kumpendeza HG ili mke wangu aumie na ataweza kubadilika. Hao nimewaunga mkono. Wengine wameshauri hata niwe nasafiri na HG ili mke wangu alinde nyumba, nao nawaunga mkono asilimia 100. Wewe ushauri wako ni upi mwenzangu?
 
tamaa ya ngono imeshakuingia kwa huyo hg...kemea huyo ni ibilisi amekukamata
 
Hujamuona huyo HG ndo maana umerukia. Ungefuatilia kwa karibu hii thread uone nani mwenye ibilisi kati yangu na mke?
 
jf kuna rahaaaaaaaaaaa sana kupita maelezo, kama mambo yenyewe ndio hivyo wee badilisha chumba tuu!
 
Wanaume mnapenda ubwanyenye.....kama housemaid yupo kwanini yeye afanye yote hayo. Na kwanini kila mmoja asijihudumie mwenyewe ikilazimu. Wataka shoeshine na kupigiwa pasi umesahau mama huyo huyo naye ni mtumishi akirudi amechoka na bado usiku unataka huduma ?

Uzuri wa housemaid haikupi kibali cha kumover take huyo mama.
mapinduzi.jpg
Ilitakiwa iwe hivi sasa yeye kwake ni msamiati!!
 
jf kuna rahaaaaaaaaaaa sana kupita maelezo, kama mambo yenyewe ndio hivyo wee badilisha chumba tuu!

Mi nikufukuzia mbali coz HG hadi jana ameonesha naweza kusihi nae vizuri bila matatizo. Yawezekana wasomi wanashida kweli. Nahisi wanawake yafaa wawe na elimu kiasi tu cha kuwawezesha kusoma sms tu
 
  • Thanks
Reactions: awp
Ungeleta ushauri wako hapa. Mimi napima ushauri sio kupokea kila kitu. Nishauri halafu nami nitakusikiliza. Wapo walionishauri vizuri kwamba nizidi kumpendeza HG ili mke wangu aumie na ataweza kubadilika. Hao nimewaunga mkono. Wengine wameshauri hata niwe nasafiri na HG ili mke wangu alinde nyumba, nao nawaunga mkono asilimia 100. Wewe ushauri wako ni upi mwenzangu?

Achana Na HG!!
Kuyakabili Mapungufu Ya Mwenzako Ndio kujiongezea Heshima!
...Pamoja Na Udhaifu Alio Kuwa Nao, Mwenzio Najuta Kwa Kutokuwa Shujaa Kumpigania My X Ninayempenda Mpaka Sasa,Nikamuacha Bila Kupigania Ninachokipenda Mpaka Mwisho!!
Pigania Ukipendacho(Kwa Wema Lakini),Mwisho Wa Siku Wewe Utabaki Mtu Bora Kwake
 
Mi nikufukuzia mbali coz HG hadi jana ameonesha naweza kusihi nae vizuri bila matatizo. Yawezekana wasomi wanashida kweli. Nahisi wanawake yafaa wawe na elimu kiasi tu cha kuwawezesha kusoma sms tu
Dah mimi nimenyanyua mikono kwani mda niliokutengea kwa ushauri naona tayari umekwisha labda kama kutakuwepo bonus ntajitahidi ila inaonekana Wiyelele umedhamiria kichwani na vitendo kubadlika kwako nivigumu kama thread ina quotes 234 bado umeshikilia HG je huyo HG kakupa jicho nini???twambie siri ya urembo maana usije kuwa kama kipofu aliona siku moja kufumbua akaona tembo na kwa bahati mbaya hakuona tena kila kitu kwake ikawa "Tembo bwana ni mkubwa sijawaikuona kitu kama Tembo"
 
Last edited by a moderator:
Achana Na HG!!
Kuyakabili Mapungufu Ya Mwenzako Ndio kujiongezea Heshima!
...Pamoja Na Udhaifu Alio Kuwa Nao, Mwenzio Najuta Kwa Kutokuwa Shujaa Kumpigania My X Ninayempenda Mpaka Sasa,Nikamuacha Bila Kupigania Ninachokipenda Mpaka Mwisho!!
Pigania Ukipendacho(Kwa Wema Lakini),Mwisho Wa Siku Wewe Utabaki Mtu Bora Kwake

I like this! Old is Gold indeed especially if ur ex is the first love na akakutambulisha kwenye dunia hii, aaa! Mi najuta sana hadi leo hii ninapoandika hapa. Picha yake ninayo ofsin kwangu hapa. I look at her, read her handwritten letters zenye maua kibao na si hizi za sms za mke wangu ambazo zinafutika.
 
Hahahaha! You can't be serious! Basically unataka ushauri but only if it means you can still keep seeing your housegirl, correct? Kwahiyo ulishaamua hutaki kusuluhisha matatizo na wife, unataka kuhamia kwa maid/ paid help. Good luck buddy! I will wait for your next amusing thread. You deserve all the drama you're going through and more 🙂🙂
Ungeleta ushauri wako hapa. Mimi napima ushauri sio kupokea kila kitu. Nishauri halafu nami nitakusikiliza. Wapo walionishauri vizuri kwamba nizidi kumpendeza HG ili mke wangu aumie na ataweza kubadilika. Hao nimewaunga mkono. Wengine wameshauri hata niwe nasafiri na HG ili mke wangu alinde nyumba, nao nawaunga mkono asilimia 100. Wewe ushauri wako ni upi mwenzangu?
 
Dah mimi nimenyanyua mikono kwani mda niliokutengea kwa ushauri naona tayari umekwisha labda kama kutakuwepo bonus ntajitahidi ila inaonekana Wiyelele umedhamiria kichwani na vitendo kubadlika kwako nivigumu kama thread ina quotes 234 bado umeshikilia HG je huyo HG kakupa jicho nini???twambie siri ya urembo maana usije kuwa kama kipofu aliona siku moja kufumbua akaona tembo na kwa bahati mbaya hakuona tena kila kitu kwake ikawa "Tembo bwana ni mkubwa sijawaikuona kitu kama Tembo"

Ninachokitafuta ni mtu kutambua wajibu wake. HG anatambua kwamba ni HG na si mke. Mke wangu anatambua kuwa yeye ndo kidume! Nikija wala hastuki! Sasa wewe utampenda yupi hapo? Tena watu wanamheshim sana my HG kuliko mke wangu. Akishinda home mtagombana kila dakika. Ndo maan huwa sishindi home hata kidogo. Nyumba ni kama guest house tu. Nikiwa sitting rum, huwa HG ndo anajaribu kuongea nami kwa upole na kunifurahisha moyo wangu. Mbali na hapo, she is beautiful and attractive.Hata majirani wanasema ingefaa kama HG angekuwa mke wangu. She is 30 and single. It pains me that beautiful and well respectful women aren't getting married ila tunaoa matapishi jamani.
 
Back
Top Bottom