Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Naona upo kwenye operation ya kumuacha mkeo coz visa haviishi mara demu wako wa zamani,mara house girl kawa mzuri,mara hakunyooshei nguo kwa miaka 4.
MY TAKE; HUO NI UPEPO WA KUCHOKANA TU NA HATA SISI ULITUKUTA ILA TULIUMALIZA KWA KUVUNJA UKIMYA NA KUONGEZA VIONJO VYA OUT,ZAWADI NA MWANAUME NA WEWE UNATAKIWA UWE PROVIDER SIO KUJIPANGA KUWA RECEIVER WA KILA KITU WANAWAKE WAMECHOKA TUMEZIDI UMWINYI.
 
It seems to me humpendi mkeo na unashindwa kumuacha so unakuja kutafuta visingizio hapa jamvini. Mwambie unavyojisikia ili abadilike, kaa kimya na vumilia uishi nae au mwache. its up to you

Nilimpenda saana ndo maana nilimuoa, ila akaanza kubadilika ghafla. Nilijaribu saana kumuelimisha hadi kwenda kwa wazee wa kanisa, hadi kwa baba paroko! ila yote ikawa kutwanga maji kwenye kinu.
 
Naona upo kwenye operation ya kumuacha mkeo coz visa haviishi mara demu wako wa zamani,mara house girl kawa mzuri,mara hakunyooshei nguo kwa miaka 4.
MY TAKE; HUO NI UPEPO WA KUCHOKANA TU NA HATA SISI ULITUKUTA ILA TULIUMALIZA KWA KUVUNJA UKIMYA NA KUONGEZA VIONJO VYA OUT,ZAWADI NA MWANAUME NA WEWE UNATAKIWA UWE PROVIDER SIO KUJIPANGA KUWA RECEIVER WA KILA KITU WANAWAKE WAMECHOKA TUMEZIDI KUENDEKEZA UMWINYI.
 

Mimi simo ndugu yangu,hapa ni pazito.
 
Inawezekana house boy nae kwa vigezo vya kuwa mume wa mkeo amekupita saana....., si vibaya ukamwomba ajaribu na yeye
 
kula tu mzigo ndugu yangu.............

Afadhali umenishauri vizuri maana HG alipokuja nilimpiga picha, nikiiweka na alivyo sasa hata yeye anajikubali. Sasa iweje nimpendezeshe na mwingije aje ajipatie tu? Lazima nifanye replacement haraka! asante bwana
 
Japo kila mtu amechangia anavyoamin..mimi kwa upande wangu naamin unapokua na mchumba na ukaamua kumuoa inamaanisha upo tayari kuyabeba mapungufu yake yote na yeye pia pindi anpokubali kuolewa nawe maanake yupo tayari kufanya the same....kama huwez kuvumilia mapungufu ya mkeo kama ulivyoyaorodhesha ambapo karibia yote yanatatulika kamwe hutaweza kuvumilia mapungufu ya msichana mwingine yoyote ambae utakua nae hata kama awe mzuri kupta kiasi...na kamwe siamini kua wakati unataka muoa mkeo hakukua na wasichana wengine wazuri zaidi yake na wapole,walikuwepo ila ulichukua maamuz ya kumfanya mkeo....Kwahyo kaka vumilia utayazoea na utaishi vizuri ...
 

Jibinafsishe tu HG mwenyewe tayali yuko katika himaya yako!
 
Afadhali umenishauri vizuri maana HG alipokuja nilimpiga picha, nikiiweka na alivyo sasa hata yeye anajikubali. Sasa iweje nimpendezeshe na mwingije aje ajipatie tu? Lazima nifanye replacement haraka! asante bwana

yap maaana wife kama hafanyi anayotakiwa kufanya basii ruksa kula...kwa nini ujipe stress ??
 
yap maaana wife kama hafanyi anayotakiwa kufanya basii ruksa kula...kwa nini ujipe stress ??

.............halafu maisha yenyewe mafupi haya! Nishindwe kufurahia maisha kisa kuzinguliwa na mke? Thumbs up my friend!
 
Vizuri vyote halali yako kama viko chini ya paa lako??
Kama hg tu anakuuma, binti yako je?

Hufai kukaa karibu na watoto wewe, waweza kula maini yako mwenyewe
 

chunga tamaa mbaya
 
Mi nitaishia hapa kwa HG tu and that line of chain you have indicated is your own imagination. We sail through various waves before we finally get settled and that is the moment i am now going through!

You might be having hard time in your marriage life but I don't think if that option on your mind will bring the best results.Try to see the positive side of your wife as no one is perfect 100%,the same applies to her,you are not completely perfect to her.Let me as you one question,you have been together for how long now?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…