Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...


My friend, this marriage is incurable! I have been in hell with this for 4 years!
 
Mbona kama ushafanya maamuzi na hapa unatafuta watakaokusaidia 'kuidanganya' roho yako kuwa ndio ushauri wa wengi?

Kaka 'virembo' haviishi, vyazaliwa na kufa kila uchao......
 
Unahitaji mamombi ndugu yangu....Kumwacha mkeo eti HG anakutamanishaaa????!!!!
 
...uzinzi mchanganyiko ndo unakusumbua.....
Nani anyempokea mizigo mkeo? Nani anayemfulia na kumwandalia viatu? Kwa hiyo nae ampende hausigirl waanze kusagana?

Kuna umuhimu wa kuwapima akili wanaume wa siku hizi kabla ya kukubali kuolewa.....

 
...uzinzi mchanganyiko ndo unakusumbua.....
Nani anyempokea mizigo mkeo? Nani anayemfulia na kumwandalia viatu? Kwa hiyo nae ampende hausigirl waanze kusagana?

Kuna umuhimu wa kuwapima akili wanaume wa siku hizi kabla ya kukubali kuolewa.....


We usawa huo ndo unawadanganya!
 
Unahitaji mamombi ndugu yangu....Kumwacha mkeo eti HG anakutamanishaaa????!!!!

Mi hanitamanishi kabisa, lakini kazi zake ndo zinamfaa kuwa mke kabisa! Pia ni kweli she looks beautiful indeed! Amenawili kwa kula chakula changu na kuogea sabuni zangu.
 
Acha tamaa mbaya kwani huyo hg ana nini ambacho mkeo hana? Kama ni kukufanyia hivyo vyote si ukae nae muongee? Au humpendi? Kila binadamu ana mapungufu yake hata ww una yako anakuvumilia tu.
 
msihangaike hata kumshauri.. Mwacheni afuate akili yake
 
Acha tamaa mbaya kwani huyo hg ana nini ambacho mkeo hana? Kama ni kukufanyia hivyo vyote si ukae nae muongee? Au humpendi? Kila binadamu ana mapungufu yake hata ww una yako anakuvumilia tu.

Sio tamaa wewe! Maisha ni furaha na unafurahia na kile ukipendacho na kukitamani. Sasa kama nampenda HG ndo nisiseme? HG ni common name tu, behind that is a beautiful lady!
 

mkuu Wiyelele, namwomba mkeo nikae naye walau mwezi mmoja ili nimfundishe na kumuelekeza namna ya kuishi na mumewe kwani wewe umeshindwa na badala yake wewe umemuelekeza housegirl yale ambayo ulipaswa umuelekeze mkeo ili ayafanye!!
ndugu yangu naomba ukue, achana na tamaa za mwili zitakugharimu, ohoooooooooooooooooooooooooo!!!
 
Last edited by a moderator:

Tamaa zipi mbona hapa umeanza kutamani na wewe? Hapa nimeleta mzigo uli niutue!
 

umenichosha mwili na roho
 
IVI HAPO ULIPO UNATAMBUA KWAMBA HUYO HG NI KAMA MWANAO MAANA UMEMLEA WEWE HIVYO SASA UNADHIHILISHA KWAMBA SIKU MWANAO WA KIKE AKIKUA NA KUANZA KUVUTIA UTA MLALA WEWE,HUO NDIO NINAITA UNYANYASAJI WA KIJINSIA KWANI HUYO MKEO ULIMUOA ILI AJE KUFUA NGUO ZAKO NA KUSAFISHA VIATU VYAKO WEWE ULIMFULIA LINI NA KUMNYOOSHEA NGUO ZAKE?SASA KAMA NA YEYEY ANAFANYA KAZI KWANINI HOUSE GAL ASIMSAIDIE KUFANYA HIZO KAZI ZA NJE HARAFU YEYE AFANYE ZA CHUMBANI KAMA VILE KUKURIDHISHA KIMAHABA MBONA NYIE WANAUME MNATAKA KUTUFUJA WATOOT WA WENZENU?:A S angry:
 
Mkuu, kama ingekuwa hujaoa na umebahatika kuwa na house girl wa aina hiyo, wala isingekuwa tatizo, mngesaidiana zaidi kwa kuoana. Ila sasa kama unataka kudharauliwa na jamii, basi fanikisha janga la kumfanya mkeo ampishe huyo house girl, hata kama mtaachana kwa sasa, uamuzi wa kumchukua house girl kama mwenza kuanzia sasa ni balaa itakayokuletea dharau kubwa sana. Ni mtazamo!
 
tatizo lako wewe unapenda sana ule utelezi kunako maeneo ya pale kati,ana-ana,anateleza?
 
nenda kaombewe ni pepo lina kusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…