Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mjumbe wa baraza la mapinduzi la Yemen,Mohammed Ali Houth amejibu azimio la Umoja wa mataifa linaloitaka kuacha kushambulia meli kwenye bahari nyekundu.
Akijibu azimio hilo,kiongozi huyo wa Houth amesema hawatoacha mashambulizi yao mpaka hapo Marekani itakapoacha kuiunga mkono Israel katika kuleta madhara kwa wapalestina wa Gaza. kwa sababu kwa kitendo hicho Marekani nayo inavunja sheria za kimataifa.
Jibu lake hilo kupitia mtandao wa twiter(X) limeendelea kusema kuwa Marekani na Israel zinapaswa kuacha mara moja mashambulizi yake Gaza yanayozuia masihda kuendelea.
Mzingiro wa Gaza unaofanywa kwa pamoja kati ya Marekani na Israel ni silaha mbaya iliyogeuza eneo hilo kuwa gereza kubwa la wazi lenye kutoa adhabu kwa jumla kwa wapalestina wote.Kile Yemen kinachofanya kinakwenda sambamba na kanuni ya kujilinda na kuwalinda wanaoonewa.
Huyu ndiye Mohammed Ali Houth