Pole Sana.Yemen ni moja ya mataifa maskini sana duniani na badala ya kushughulikia umaskini wao wanaojiingiza kwenye maswala ambayo yanazidi kuchochea zaidi umaskini wao. Hiyo ndio akili ya waarabu. Bure kabisa.
Yemeni Kama isingelikua US kumshika kola Saudia kuivamia Basi isingekua maskini.
Pia sasahiv Yemen inapiga hatua adoado kiuchumi tizama takwimu za miaka miwili iliyopita ujionee.