MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Wacha ujinga wewe na unafiki Saud Arabia kapigana na hao Al Hout sababu ya America na alipokuwa anapigwa Saud Arabia hao America walifanya nini.
Punguzeni uwongo America atakimbia tu hapo Red Sea kama atabaki hapo labda hapigani na Yemen
Afu Myahudi anawatukana wakristo wote anasema acheni ujinga ukristo sio dini, afu nyie mnasema Israel ni taifa lenu Teule 😄
Msikilizeni tena kaongea kifaransa h😄 Anawambieni acheni ujinga Yesu si Mungu na pia anawambia hataki kuwadanganyeni kuwatakia mwaka mpya sababu atakuwapo anawadanganyeni mtabaki na ujinga.
View: https://youtu.be/Hny7IEK71HU?si=EnSidOKGLcRJF9Sc
Nimeweka na video kabisa jinsi hao magaidi wa dini yenu walivamia nchi ambayo iliasisi hiyo dini, hapo ambapo huwa mnakwenda kupiga shetani mawe, ambapo Marekani huwalinda.