Houthi wadai uss truman haifanyi kazi baada ya shambulio la mwanzo

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Mkuu wa houthi,jana,alitoa taarifa ya uss truman kutofanya kazi na kupoteza uongozi wake baada ya shambulio lao la awali dhidi ya meli vita hiyo,jambo lililopelekea marekani kutuma meli nyingine
 
Attachments

  • Screenshot_2025-04-21-09-11-11-265.jpg
    Screenshot_2025-04-21-09-11-11-265.jpg
    290.1 KB · Views: 33
Tatizo la waamerica wanaharibu miundo mbinu kama madaraja,majengo ma matenki ya mafuta na mambo kedekede mpaka wanaacha kuwapiga wanakua wamewatia hasara kubwa sana ukizingatia Yemen ni nchi maskini tu ,bora waache kushindana na US
 
Wanapiga masoko,bandari,matanki ya mafuta, maana hakuna cha kupiga, silaha za houthi hazifikiki,zipo chini deep
 
Unamtishia Houthi kwa kupiga madaraja?. Kwanza hayakujengwa na serikali ya Wahouthi kwa hiyo hawana uchungu navyo
 
Tatizo la waamerica wanaharibu miundo mbinu kama madaraja,majengo ma matenki ya mafuta na mambo kedekede mpaka wanaacha kuwapiga wanakua wamewatia hasara kubwa sana ukizingatia Yemen ni nchi maskini tu ,bora waache kushindana na US
Kuna wajinga wapo hapa kazi Yao ni kufanya ushabiki wa Simba na yanga kwenye medani za vita.
Houthi kushindana na marekani ni sawa na mbingu na ardhi kamwe houthi haitaweza kupigania na marekani...
Marekani ana military bases kote duniani alafu aje kushindana na hawa WAJINGA?
 
Ungejua Israel ndio inafilisika kabisa kwa kuzuiwa meli kuwafikia kwenye Bandari zao ivo tank azina galama kubwa kuvijenga upya...
 
Upo kidini ? Sababu unaweza ukatumia akili nyingi kumjibu mtu ambae yupo ktk mihemuko ya imani yake badala ya kupeana taarifa mbali mbali.
 
Mkuu wa houthi,jana,alitoa taarifa ya uss truman kutofanya kazi na kupoteza uongozi wake baada ya shambulio lao la awali dhidi ya meli vita hiyo,jambo lililopelekea marekani kutuma meli nyingine
Kumbe wanataka silaha ifanye kazi vizuri ili wafutike duniani, halafu huko ahera wakafaidi nini ?
 
Kuna wajinga wapo hapa kazi Yao ni kufanya ushabiki wa Simba na yanga kwenye medani za vita.
Houthi kushindana na marekani ni sawa na mbingu na ardhi kamwe houthi haitaweza kupigania na marekani...
Marekani ana military bases kote duniani alafu aje kushindana na hawa WA
kwani wewe unajua hicho chombo kipo wapi muda wote huo.
 
Waarabu akili ndogo sana sasa hivi wanadanganywa na Iran lkn wanapigwa na kufa wenyewe na wala huyo Iran hawasaidii na yeye anapigana kivyake aondolewe vikwazo. Waarabu bogus kabisa.
 
Kuna wajinga wapo hapa kazi Yao ni kufanya ushabiki wa Simba na yanga kwenye medani za vita.
Houthi kushindana na marekani ni sawa na mbingu na ardhi kamwe houthi haitaweza kupigania na marekani...
Marekani ana military bases kote duniani alafu aje kushindana na hawa WAJINGA?
Kwani mashindano mpaka kila mtu ashinde?kule kujaribisha kushindana tu ni ushindani tosha.Bingwa huwa mmoja tu.
 
Mkuu wa houthi,jana,alitoa taarifa ya uss truman kutofanya kazi na kupoteza uongozi wake baada ya shambulio lao la awali dhidi ya meli vita hiyo,jambo lililopelekea marekani kutuma meli nyingine
Hoyo Carrier mbona mda mrefu ilishachakazwa ndio kisa cha Trump kupeleka madege kule kisiwani bahari hindi
 
Vita vya ukumbuzi lazima view na gharama na vinacost muda mrefu hata 300yrs lakini one day dawa inakuja kupatikana.So hata USA dawa utapatikana TU kama walivyopatikana wenzie
 
Back
Top Bottom