Houthi wadai uss truman haifanyi kazi baada ya shambulio la mwanzo

Houthi wadai uss truman haifanyi kazi baada ya shambulio la mwanzo

Patachafuka mashariki ya Kati,japo Iran walisema wanaweza mfuata adui hadi gulf of Mexico
Domo tu. Maana Iran bingwa wa Domo. Kawatelekeza wapalestina wanateseka tu now. Karusha vibaruti vyake akaperekewa ndege. Kapiga Domo najibu Israel itajuta mpaka Leo. Alafu apigane na USA?. Acheni kujirisha upepo
 
Back
Top Bottom