Houthi walionywa sana, kwamba wayafanye huko mbali na Israel, hawakuskia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa magaidi ya waislamu, Houthi wamekua wakifanya maugaidi ya kidini huko mbali na Israel, walikua wanaonywa mambo yao hayo yaishie huko, juzi walithubutu kufikisha drone moja Israel, wamepokea kipigo ambacho hawajafanyiwa siku nyingine, yaani ukitazama videos kwa kweli hiki ni kipigo kitakatifu.

Israel wakiendeleza kipigo kama hiki kwa wiki moja tu, pale mahali panakua Gaza, yaani shamba.....

View: https://twitter.com/Roaastudies/status/1814693934850850962?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1814693934850850962%7Ctwgr%5Ec1404fb64fd5f9b023ee7c443a54fce1a6d28aac%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fisrael-strikes-houthi-controlled-port-in-yemen-after-deadly-drone-attack-on-tel-aviv%2F
 
Am happy.

TRUE GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
 
Hawa magaidi ya waislamu, Houthi wamekua wakifanya maugaidi ya kidini huko mbali na Israel, walikua wanaonywa mambo yao hayo yaishie huko, juzi walithubutu kufikisha drone moja Israel, wamepokea kipigo ambacho hawajafanyiwa siku nyingine, yaani ukitazama videos kwa kweli hiki ni kipigo kitakatifu.

Israel wakiendeleza kipigo kama hiki kwa wiki moja tu, pale mahali panakua Gaza, yaani shamba.....

View: https://twitter.com/Roaastudies/status/1814693934850850962?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1814693934850850962%7Ctwgr%5Ec1404fb64fd5f9b023ee7c443a54fce1a6d28aac%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fisrael-strikes-houthi-controlled-port-in-yemen-after-deadly-drone-attack-on-tel-aviv%2

View:
Walionywa%20na%20nani%20?%20We%20mwanamgambo%20wa%20Israel%20toka%20Makurunge
 
Kosa lao ni kuisaidia palestine wakiwa kwao. Kwanini hawakuchaguwa kuimsrisha harakati za waparestina ndani ya parestina ambakao tayari kulikuwa na vita?. Au lengo ni kupanua eneo la mapigano?
 
Magaidi hawajawahi kuwa na akili na ndio maana myahudi anawatembezea kipigo kila siku
 
Hawa magaidi ya waislamu, Houthi wamekua wakifanya maugaidi ya kidini huko mbali na Israel, walikua wanaonywa mambo yao hayo yaishie huko, juzi walithubutu kufikisha drone moja Israel, wamepokea kipigo ambacho hawajafanyiwa siku nyingine, yaani ukitazama videos kwa kweli hiki ni kipigo kitakatifu.

Israel wakiendeleza kipigo kama hiki kwa wiki moja tu, pale mahali panakua Gaza, yaani shamba.....

View: https://twitter.com/Roaastudies/status/1814693934850850962?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1814693934850850962%7Ctwgr%5Ec1404fb64fd5f9b023ee7c443a54fce1a6d28aac%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fisrael-strikes-houthi-controlled-port-in-yemen-after-deadly-drone-attack-on-tel-aviv%2F

Kipigo cha Mbwa Koko F 35 Zimeenda 20 - wamelipuwa Matank ya mafuta na Mitambo ya Umeme- na magala ya Silaha za kutoka Iran. Watachukuwa Miaka kureplace hasara waliyoupata.Pia Silaha toka Iran kuwafikia itakuwa kazi sana maana Bandali kwishney
 
Attachments

  • IMG_8172.png
    IMG_8172.png
    42.9 KB · Views: 6
  • IMG_8173.png
    IMG_8173.png
    49.1 KB · Views: 4
  • IMG_8174.png
    IMG_8174.png
    89.9 KB · Views: 6
  • IMG_8175.jpeg
    IMG_8175.jpeg
    21.4 KB · Views: 4
Hawa magaidi ya waislamu, Houthi wamekua wakifanya maugaidi ya kidini huko mbali na Israel, walikua wanaonywa mambo yao hayo yaishie huko, juzi walithubutu kufikisha drone moja Israel, wamepokea kipigo ambacho hawajafanyiwa siku nyingine, yaani ukitazama videos kwa kweli hiki ni kipigo kitakatifu.

Israel wakiendeleza kipigo kama hiki kwa wiki moja tu, pale mahali panakua Gaza, yaani shamba.....

View: https://twitter.com/Roaastudies/status/1814693934850850962?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1814693934850850962%7Ctwgr%5Ec1404fb64fd5f9b023ee7c443a54fce1a6d28aac%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fisrael-strikes-houthi-controlled-port-in-yemen-after-deadly-drone-attack-on-tel-aviv%2F

Haya mzee houthi bado wanaendeleza kichapo huko ,na huyo israel hata hana anachokiweza, marekani ndio anapambana red sea lakini kamanda anayeongoza vikosi vya kujilinda bya red sea anasema mambo bado magumu
 
Attachments

  • Screenshot_20240813-155345_Chrome.jpg
    Screenshot_20240813-155345_Chrome.jpg
    329.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240813-155331_Chrome.jpg
    Screenshot_20240813-155331_Chrome.jpg
    400.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom