Hovyo hovyo hovyo.

Hovyo hovyo hovyo.

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me?
Binafsi hata sijielewi yani.
 
Unaingia juani, subiri majibu,sio muda mrefu. Au homoni zako haziko sawa.
 
Huenda hormones ziko out of whack leo.

Jipe kama siku mbili hivi uone hali inaendeleaje.
 
Au atafute a mandingo moja...hahaa.......impe what she has been missing

umewahi msikia Steve Harvey akisema every woman need four men'?
 
Matatizo ya kuvuta bangi za Temeke hizo. kuna jamaa pale anauza sigara huwa anauza na bangi pia nilikwenda na msela wangu kununua kumaliza kuvuta nilijiona kama mchizi fulani. Mpaka leo sinunui bangi kama sikujui dadeki zake
 
Au atafute a mandingo moja...hahaa.......impe what she has been missing

umewahi msikia Steve Harvey akisema every woman need four men'?

Oh yeah...Steve Harvey is ma man.

Ana morning talk show yake huwa naisikiliza kila siku, Jumatatu mpaka Ijumaa.

Huwa anaongea sense sana lakini katika mtindo wa kuchekesha.

Ni kawaida kwa kila kipindi inatokea kwenye mwezi? Au leo tu?

Leo tu ndo najisikia hivo though nikiwaga kwenye siku nakua na hasira sana hasira tu.. sasa leo sipo sikuni wala nini ila najiona nipo nipo tu hata sijielewi
 
Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me?
Binafsi hata sijielewi yani.

Wengine huwatokea hili kama wanakuwa hawajafanya yale mambo kwa muda mrefu...
 
Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me?
Binafsi hata sijielewi yani.
ka mie tu; nmebet mikeka ka kumi hivi .....out of timu 15 kwa kila mkeka vijitimu vi tatu tu vmeninyima utajiri.........
😡🙂🙂🙂
 
Au atafute a mandingo moja...hahaa.......impe what she has been missing

umewahi msikia Steve Harvey akisema every woman need four men'?

Mandingo tena..!!!!!!!!!!!!!!?? Heh!!!!!!!?
 
Back
Top Bottom